-
Iran, Ethiopia zajadili BRICS, uhusiano wao na masuala ya kieneo
Oct 23, 2024 10:24Katika mkutano muhimu wa kidiplomasia, Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amekutana na Abiy Ahmed, Waziri Mkuu wa Ethiopia, ambapo wamejadili masuala muhimu ya pande mbili na kikanda.
-
Mkataba wa ushirikiano wa Mto Nile waanza kutekelezwa licha ya upinzani wa Misri na Sudan
Oct 14, 2024 02:43Waziri Mkuu wa Ethiopia amesema kuwa Mkataba wa Ushirika wa Bonde la Mto Nile (CFA) ulianza kutekelezwa rasmi jana Jumapili licha ya Misri na Sudan kuendelea kuupinga.
-
Mvua kubwa na maporomoko ya udongo yasababisha vifo vya watu 37 kaskazini mwa Ethiopia
Oct 01, 2024 06:21Karibu watu 37 wamepoteza maisha kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha kaskazini mwa Ethiopia, ambapo maporomoko ya ardhi na mafuriko yameharibu maeneo mengi ya ukanda huo.
-
Maporomoko ya ardhi yanatishia watu 400,000 kaskazini mwa Ethiopia
Aug 29, 2024 07:20Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika eneo la kaskazini la Amhara nchini Ethiopia zimewaweka watu 400,000 katika hatari ya mafuriko na maporomoko ya ardhi.
-
Mafuriko yasababisha maelfu ya watu kuhama makazi yao magharibi mwa Ethiopia
Aug 13, 2024 02:59Takriban watu 16,000 wamelazimika kuhama makazi yao na kuelekea katika maeneo salama kutokana na mafuriko yaliyoathiri maeneo ya magharibi mwa Ethiopia.
-
Mvua kubwa yazidisha mateso ya wakimbizi mashariki mwa Sudan
Jul 27, 2024 07:02Mvua kubwa inayoendelea kunyesha huko mashariki mwa Sudan imezidisha mateso ya watu waliokimbia makazi yao haswa katika miji ya Gedaref, Kassala na Halfa Aj Jadeedah.
-
Ethiopia yaanza siku 3 za maombolezo baada ya maporomoko ya udongo kuua 260
Jul 27, 2024 03:29Bunge la Ethiopia limetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kuanzia leo Jumamosi kufuatia maporomoko ya udongo yaliyoua mamia ya watu.
-
Maporomoko ya udongo yauwa watu wasiopungua 229 nchini Ethiopia
Jul 24, 2024 02:45Watu wasiopungua 229 wamepoteza maisha katika maporomoko ya udongo yaliyoikumba Ethiopia baada ya mvua kubwa kunyesha nchini humo.
-
Ethiopia: Bara la Afrika lina hamu ya kujiunga na BRICS
Jul 14, 2024 10:35Spika wa Bunge la Ethiopia amesema aghalabu ya nchi za Afrika zina hamu ya kuwa wanachama wa kundi la BRICS la mataifa yanayoinukia kiuchumi duniani.
-
Ethiopia yahamakishwa na EU kuiwekea vizuizi katika upokeaji wa viza
May 10, 2024 07:23Ethiopia imeeleza kughadhabishwa na hatua ya Baraza la Umoja wa Ulaya ya kuwawekea raia wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika vikwazo na vizingiti katika upokeaji wa viza.