Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Shauku maradufu ya Azerbaijan ya kupanua ushirikiano na Iran

    Shauku maradufu ya Azerbaijan ya kupanua ushirikiano na Iran

    Jan 02, 2022 09:23

    Viongozi wa Iran na Jamhuri ya Azerbaijan wakiwa na lengo la kupanua uhusiano wa pande mbili na kustawisha ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara wamo mbioni kupiga hatua kubwa katika uwanja huo.

  • Kamanda wa IRGC adungwa chanjo ya COVID-19 ya Noora ya Iran

    Kamanda wa IRGC adungwa chanjo ya COVID-19 ya Noora ya Iran

    Jan 02, 2022 04:38

    Chanjo nyingine ya COVID-19 iliyotegenezwa Iran ijulikanayo kama Noora imeingia awamu ya tatu ya majaribio kwa mwanaadamu kwa kudungwa Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).

  • Iran yalaani kimya cha jamii ya kimataifa kuhusu mauaji ya polisi Wairani

    Iran yalaani kimya cha jamii ya kimataifa kuhusu mauaji ya polisi Wairani

    Jan 02, 2022 04:36

    Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu Iran amekosoa kimya na kutochukua hatua taasisi za kimataifa kuhusu mauaji ya maafisa wa polisi wa nchi hii wanaopoteza maisha katika mapambano dhidi ya magaidi, wafanya magendo wenye silaha na magenge.

  • Baqeri Kani: Zimepigwa hatua nzuri katika suala la uondoaji vikwazo

    Baqeri Kani: Zimepigwa hatua nzuri katika suala la uondoaji vikwazo

    Dec 30, 2021 08:56

    Kiongozi wa ujumbe wa Iran katika mazungumzo ya nyuklia ya JCPOA amesema, kutokana na mazungumzo ya karibuni mjini Vienna, zimepigwa hatua nzuri katika suala la uondoaji vikwazo.

  • Rais wa Iran kuitembelea Russia kufuatia mwaliko wa Putin

    Rais wa Iran kuitembelea Russia kufuatia mwaliko wa Putin

    Dec 29, 2021 04:17

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anatazamiwa kuitembelea Russia mapema mwaka ujao 2022, kufuatia mwaliko wa mwenzake wa nchi hiyo, Vladimir Putin.

  • Iran: Inawezekana kufikia makubaliano mazuri katika mazungumzo ya Vienna

    Iran: Inawezekana kufikia makubaliano mazuri katika mazungumzo ya Vienna

    Dec 29, 2021 01:07

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza matumaini yake ya kufikiwa mapatano ya kuridhisha katika mazungumzo ya nyuklia ya Iran na kundi la 4+1 linaloundwa na mataifa ya Russia, China, Uingereza, Ufaransa pamoja Ujerumani yanayoendelea huko Vienna, Austria.

  • Kamanda: Adui hawezi kustahamili gharama za makabiliano na Iran

    Kamanda: Adui hawezi kustahamili gharama za makabiliano na Iran

    Dec 29, 2021 01:02

    Kamanda mwandamizi wa kijeshi nchini Iran amewashauri maadui wasithubutu kupima uwezo wa kijeshi wa Iran kwa kufanya chokochoko kwani hawataweza kustahamili gharama za vita vya pande zote na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Maduro: Dunia inapaswa kulaani mauaji ya Jenerali Soleimani

    Maduro: Dunia inapaswa kulaani mauaji ya Jenerali Soleimani

    Dec 27, 2021 09:57

    Rais Nicholas Maduro wa Venezuela amesema jamii ya kimataifa inapaswa kulaani vikali mauaji ya kigaidi ya mwaka 2020 ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani wa Iran ambaye alikuwa mstari wa mbele katika vita dhidi ya ugaidi.

  • Iran yasikitishwa na mauaji yaliyofanywa na magaidi Burkina Faso

    Iran yasikitishwa na mauaji yaliyofanywa na magaidi Burkina Faso

    Dec 27, 2021 09:49

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametangaza kufungamana na familia za raia wa Burkina Faso ambao waliuawa katika hujuma ya kigaidi hivi karibuni.

  • Iran yafanya majaribio ya makombora 16 ya balistiki kwa mafanikio

    Iran yafanya majaribio ya makombora 16 ya balistiki kwa mafanikio

    Dec 25, 2021 01:09

    Katika siku ya mwisho ya mazoezi makubwa ya kijeshi yaliyopewa jina la "Mtume Mtukufu SAW 17", Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kimevurumisha kwa pamoja makombora 16 ya balistiki ambayo yamelenga shabaha kwa mafanikio ya kiwango cha juu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS