-
Juhudi za Israel za kutaka kuwa na ushawishi barani Afrika
Jul 05, 2016 03:21Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni jana usiku aliwasili Kenya katika ziara ya kiserikali.
-
Iceland yapiga kura ya kususia bidhaa za Israel
Jul 04, 2016 02:46Mji mkuu wa Iceland umetangaza kuwa wakazi wake wamepiga kura ya kuunga mkono kususiwa bidhaa zinazozalishwa na utawala wa Kizayuni wa Israel hadi pale Palestina itakapotangazwa kuwa taifa huru.
-
Ban: Israel inawaumiza Wapalestina kwa mzingiro wake Ghaza
Jun 28, 2016 23:56Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amelaani mzingiro wa Israel huko Ukanda wa Ghaza na kusema unawaumiza Wapalestina na kuharibu uchumi wao.
-
Nchi za Kiafrika zakosoa ukandamizaji wa Israel dhidi ya Wapalestina
Jun 28, 2016 03:17Kundi la nchi 54 za bara Afrika limekosoa vikali ukandamizaji na dhulma zinazofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina katika ardhi zao unazozikalia kwa mabavu.
-
Wapaestina wakasirishwa na kufufuliwa uhusiano wa Israel na Uturuki
Jun 28, 2016 02:49Wananchi wa Palestina inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel wameghadhabishwa na hatua ya Uturuki kuhuisha uhusiano wake wa kidiplomasia na utawala huo, baada ya kuukatiza zaidi ya miaka mitano iliyopita.
-
Wasiwasi kuhusu ukatili wa Israel dhidi ya watoto Wapalestina
Jun 26, 2016 02:50Kufuatia kushadidi ukatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watoto Wapalestina, kumekuwepo wasiwasi na malalamiko makubwa miongoni mwa Wapalestina na jamii ya kimataifa.
-
Wazayuni wanaona bora Daesh kuliko Bashar al Assad
Jun 23, 2016 11:23Shirika la ujasusi wa kijeshi la utawala wa Kizayuni limekiri kwa njia isiyo ya moja kwa moja uungaji mkono wake kwa genge la kitakfiri la Daesh na kutangaza kuwa, kundi hilo ni bora kwa utawala huo kulikoni serikali ya Rais Bashar al Assad huko Syria.
-
Utawala wa Kizayuni wamuua shahidi Mpalestina, waharibu nyumba
Jun 21, 2016 03:29Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wamempiga risasi na kumuua shahidi kijana Mpalestina kwa kosa la kurushia gari lao jiwe na baada ya hapo kuharibu nyumba ya Mpalestina mwingine katika Ukingo wa Magharibi.
-
Kushadidi hatua zisizo za kiutu za Israel dhidi ya Wapalestina
Jun 20, 2016 23:19Utawala wa Kizayuni wa Israel umeanza kuchukua hatua kali zisizo za kiutu dhidi ya Wapalestina ili kufikia malengo yake ya kujipanua.
-
Israel yatenga $18M za ujenzi wa vitongoji vipya Palestina
Jun 20, 2016 02:38Utawala haramu wa Israel umeidhinisha dola milioni 18 za Marekani zitakazotumiwa katika ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina unazozikalia kwa mabavu.