-
Kenya yajipanga kununua silaha mpya za kisasa za kivita kukabiliana na ongezeko la uhalifu
Apr 07, 2024 07:02Serikali ya Kenya imetangaza kuwa imo mbioni kununua silaha mpya za kisasa za kivita ili kukabiliana na ongezeko la uhalifu nchini humo.
-
Seneti ya Kenya: Watuhuniwa wa mbolea feki wafunguliwe mashtaka
Apr 01, 2024 10:40Maseneta wa Kenya wametaka maafisa wa serikali walioruhusu mbolea feki kuingia nchini humo na katika mabohari ya Bodi la Nafaka na Mazao (NCPB) wafikishwe mahakamani.
-
Familia Kenya zaanza kukabidhiwa miili ya wahanga wa Shakahola
Mar 27, 2024 07:39Serikali ya Kenya imeanza kukabidhi miili ya watu waliofariki dunia kutokana na njaa katika msitu wa Shakahola pwani ya nchi hiyo, baada ya kuagizwa na mchungaji mwenye misimamo ya kufurutu ada, Paul McKenzie kufunga hadi kufa ili eti wakakutane na Yesu (Nabi Isa AS).
-
Mgomo wa madaktari nchini Kenya umeingia wiki ya pili huku huduma za dharura zikisitishwa
Mar 22, 2024 06:58Madaktari nchini Kenya wamesitisha kutoa huduma za dharura katika hospitali za serikali na hivyo kuutumbukiza mfumo wa afya katika mgogoro mkubwa zaidi huku mgomo wa kitaifa wa madaktari ukiingia wiki ya pili jana Alhamisi.
-
Mashirika 16 ya Kiirani katika maonyesho ya afya Kenya
Mar 17, 2024 11:10Mashirika 16 ya ubunifu wa utaalamu ya Iran yanashiriki katika duru ya 24 la Maonyesho ya Sekta ya Afya nchini Kenya, yaliyopangwa kufanyika Nairobi kuanzia tarehe 17 hadi 19 mwezi Aprili mwaka huu.
-
Mgomo wa nchi nzima wa madaktari Kenya waacha wagonjwa wakitangatanga, utoaji huduma wakwama
Mar 15, 2024 07:41Madaktari kote nchini Kenya wamewaacha wagonjwa wakitangatanga baada ya kugoma kuhudumu katika hospitali za umma jana Alkhamisi, licha ya agizo la Mahakama la kuzuia mgomo wa kitaifa wa madaktari hao.
-
Kenya yaakhirisha mpango wa kutuma askari polisi Haiti
Mar 13, 2024 07:44Kenya imetangaza habari ya kuakhirisha mpango wake wa kutuma kikosi cha askari polisi 1,000 nchini Haiti, kufuatia kujiuzulu kwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo ya Amerika ya Latini, Ariel Henry.
-
Benin yasema iko tayari kutuma maelfu ya askari nchini Haiti
Feb 27, 2024 07:27Nchi nyingine ya Kiafrika ya Benin imetangaza utayarifu wake wa kutuma maelfu ya askari wataoungana na Kikosi cha Kimataifa cha kulisaidia jeshi la Haiti kupambana na magenge ya uhalifu.
-
Kiongozi wa tapo la kidini Kenya na wenzake 29 washtakiwa kwa mauaji ya watoto 121
Feb 07, 2024 03:49Kiongozi wa tapo la kidini nchini Kenya liitwalo Good News International, Paul Nthenge Mackenzie na wasaidizi wake 29 wameshtakiwa rasmi kuhusika na mauaji ya watoto 191 ambao miili yao ilipatikana kati ya mamia ya watu waliozikwa kwenye msitu wa Shakahola.
-
Rwanda yasitisha matumizi ya dawa za fungus (Kuvu) kutoka Kenya kwa sababu za kiusalama
Jan 05, 2024 11:55Mamlaka husika ya Afya nchini Rwanda imetaka kurudishwa dawa aina ya antifungal zilizo katika muundo wa vidonge zinazotumika kutibu matatizo ya fungus (Kuvu) zinazozalishwa nchini Kenya kutokana na masuala ya usalama.