-
Libya kuongeza uzalishaji wake wa mafuta
Jul 19, 2017 09:53Viongozi wa Libya wametangaza kuwa nchi hiyo ina mpango wa kuongeza uzalishaji wake wa mafuta hadi kufikia mwishoni mwa mwaka huu na kufikia mapipa milioni moja na laki mbili na eldfu hamsini kwa siku.
-
UN yataka kufanyika uchunguzi kuhusu mauaji ya wafungwa Libya
Jul 19, 2017 01:59Umoja wa Mataifa umelitaka Jeshi la Taifa la Libya linalodhibiti eneo la mashariki mwa nchi hiyo kufanya uchunguzi kuhusu mauaji ya papo na hapo ya wafungwa.
-
Haftar asisitiza kuendeleza mapambano dhidi ya magaidi
Jul 17, 2017 23:46Khalifa Haftar Kamanda wa jeshi la taifa la Libya lenye makao yake mashariki mwa nchi hiyo amesema kuwa mapambano dhidi ya ugaidi hadi kutokomezwa suala hilo yataendelezwa kote nchini Libya.
-
Siasa mpya za Trump ni kuingilia zaidi masuala ya ndani ya Libya
Jul 16, 2017 23:54Gazeti la al Quds al Arabi limeandika kuwa, serikali ya Donald Trump ya nchini Marekani inatumia kisingizio cha makundi ya kigaidi kuingilia masuala ya ndani ya Libya.
-
Walibya: Saudia inapanga kuasisi utawala wa Kiwahabi nchini kwetu
Jul 14, 2017 21:58Raia wa Libya pamoja na wanafikra wa nchi hiyo wameonyesha wasi wasi wao mkubwa juu ya kuwepo viashiria vya kuanzishwa utawala wa Kiwahabi na wa ukandamizaji mashariki mwa nchi hiyo.
-
Marekani yafanya njama za kujipenyeza zaidi nchini Libya
Jul 11, 2017 23:34Serikali ya Libya imetangaza kuwa itaongeza idadi ya wanajeshi wake nchini Libya
-
Wanne wauawa 21 wajeruhiwa katika mapigano mapya karibu na Tripoli, Libya
Jul 11, 2017 10:15Wizara ya Afya ya Libya imetangaza kuwa, watu 25 wameuawa na kujeruhiwa katika mapigano yaliyotokea siku mbili zilizopita baina ya makundi hasimu mashariki mwa Tripoli, mji mkuu wa Libya.
-
Misri kuchunguza mauaji ya raia wake nchini Libya
Jul 09, 2017 09:33Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri imetangaza kuwa, itafanya uchunguzi kuhusu maiti za raia 19 wa nchi hiyo zilizopatikana katika eneo la jangwani kaskazini mashariki mwa Libya.
-
Misiba ya wakimbizi yajikariri, makumi wahofiwa kufa maji pwani mwa Libya
Jul 08, 2017 22:21Makumi ya watu wanahofiwa kufa maji katika maji ya pwani ya Libya katika Bahari ya Mediterania.
-
Mlipuko wa bomu wauwa watu 5 na kujeruhi 18 Benghazi, Libya
Jul 07, 2017 10:39Watu kadhaa wameuawa na wengine kujeruhiwa baada ya bomu kulipuka kando ya barabara inayotumiwa na vikosi vya jeshi la Libya katika mji wa Benghazi, mashariki mwa nchi hiyo.