-
Maandamano makubwa kupinga jinai za Israel huko Gaza yafanyika Sweden
Jul 20, 2025 07:58Wauungaji mkono wa Palestina wameandamana Stockholm, mji mkuu wa Sweden kupinga mashambulizi yanayoendelea kufanywa na jeshi la Israel dhidi ya shule na hospitali za Ukanda wa Gaza.
-
Wananchi wa Argentina waandamana kuliunga mkono taifa la Palestina
Jul 14, 2025 13:21Maandamano makubwa yamefanyika katika mji mkuu wa Argentina, Buenos Aires, huku maelfu ya wananchi wakikusanyika katika baadhi ya barabara kuu na nembo na vituo muhimu vya jiji hilo, kutangaza himaya na uungaji mkono wao kwa taifa madhulumu la Palestina.
-
Mkuu wa Mawaziri Kenya atofautiana na Rais Ruto kuhusu kuwapiga risasi waandamanaji
Jul 14, 2025 03:13Mkuu wa Mawaziri wa Mawaziri nchini Kenya, Musalia Mudavadi ametofautiana na Rais William Ruto kuhusu wito wake wa kupigwa risasi viijana wanaoandamana kupinga sera za serikali yake na amevitaka vyombo vya usalama visiwaumize Wakenya wakati wa maandamano.
-
Polisi UK yakamata makumi ya watu kwa kushiriki maandamano ya kuiunga mkono Palestina
Jul 13, 2025 07:06Polisi wa Uingereza imewakamata makumi ya wanaharakati wanaoiunga mkono Palestina wakati wa maandamano mapya ya kupinga marufuku ya vuguvugu la 'Palestine Action', kundi linalojulikana kwa maandamano yake dhidi ya makampuni ya silaha yenye uhusiano na Israel.
-
Malaki waandamana Hague, Brussels kuonyesha mshikamano na Gaza
Jun 16, 2025 10:22Makumi ya maelfu ya watu waliovalia mavazi mekundu wameandamana katika mitaa ya mji wa Hague nchini Uholanzi na mjini Brussels huko Ubelgiji kuonyesha mshikamano na Wapalestina wa Gaza sanjari na kushinikiza hatua zaidi kutoka kwa serikali zao dhidi ya mauaji ya kimbari katika eneo hilo la Palestina lililozingirwa.
-
Maandamano ya kuwaunga mkono Wagaza yafanyika Iran, Yemen
May 31, 2025 02:23Maelfu ya watu walimiminika barabarani na mitaani katika miji yote ya Iran baada ya Swala ya Ijumaa kushiriki maandamano ya kitaifa ya "Ijumaa ya Ghadhabu", wakitangaza uungaji mkono wao usioyumba kwa Wapalestina wa Gaza, na kulaani mauaji ya kimbari ya Israel katika eneo hilo lililozingirwa.
-
Wamorocco: Mgogoro wa kibinadamu Gaza unatisha
May 12, 2025 11:12Wananchi wa Morocco wameandamana kuunga mkono Wapalestina wanaoishi katika Ukanda wa Gaza, wakitangaza mshikamano wao na watoto wa eneo hilo la Palestina lililozingirwa ambao wanakabiliwa na njaa, kiu na maradhi; huku mgogoro mbaya wa kibinadamu uliosababishwa na Wazayuni ukiendelea kuwasakama.
-
Polisi ya Uholanzi yakandamiza maandamano ya kuitetea Palestina
Apr 12, 2025 11:39Makabiliano yaliripuka mjini Amsterdam kati ya polisi ya Uholanzi na waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina, wakati waandamanaji hao wakipita katika kitovu cha fedha cha mji huo, wakizituhumu kampuni kubwa kwa kujinufaisha kutokana na uhusiano wao na Israel wakati huu wa vita vinavyoendelea Gaza.
-
Maelfu ya Wamisri waandamana Sinai kuiunga mkono Palestina
Apr 09, 2025 13:42Maelfu ya wananchi wa Misri kutoka majimbo mbalimbali wamekusanyika karibu na Uwanja wa Ndege wa El-Arish katika Mkoa wa Sinai Kaskazini wakitangaza kuunga mkono kadhia ya Palestina na kupinga jaribio lolote la kuwafurusha Wapalestina kutoka katika ardhi zao.
-
Ubelgiji nayo yatia ulimi puani, yasema: Hatutamkamata Netanyahu
Apr 09, 2025 06:35Ubelgiji nayo pia imetangaza kuwa haitotii amri ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ya kutaka waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu akamatwe na kukabidhiwa kwa mahakama hiyo.