-
Iran na Ivory Coast kuimarisha uhusiano wao wa pande mbili
Mar 11, 2017 02:55Mansour Shakib-Mehr, Balozi wa Iran nchini Ivory Coast amesisitizia umuhimu wa kuimarishwa uhusiano wa nchi mbili hizi katika nyuga za uchumi, diplomasia na siasa.
-
Iran na Zimbabwe kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi
Mar 03, 2017 04:38Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Zimbabwe zimesisitiza juu ya kuimarisha ushirikiano wa pande mbili katika uga wa uchumi.
-
Rouhani: Iran inakaribisha kuimarisha uhusiano wake na Indonesia
Feb 28, 2017 03:46Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran inaunga mkono kikamilifu suala la kuimarisha ushirikiano wake na Indonesia katika nyuga mbalimbali kama vile uchumi, siasa na masuala ya sayansi.
-
Watunisia wataka kuanzishwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi yao na Syria
Feb 25, 2017 10:52Makundi ya kiraia nchini Tunisia yametaka kuanzishwa mahusiano ya kidiplomasia baina ya nchi yao na serikali ya Syria.
-
Russia: Hakuna chochote kinachoweza kuvuruga uhusiano wa Tehran na Moscow
Feb 17, 2017 23:09Sergei Ryabkov, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema uhusiano wa pande mbili wa nchi hiyo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hauwezi kuyumbishwa wala kuathiriwa na 'nguvu za nje' au upande wa tatu.
-
Mali yaonyesha hamu ya kuimarisha uhusiano na Iran
Jan 30, 2017 04:13Rais wa Bunge la Kitaifa la Mali amesisitizia haja ya kuimarishwa uhusiano wa pande mbili kati ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran na Zanzibar kuimarisha uhusiano wa pande mbili
Jan 24, 2017 04:47Waziri wa Habari, Utamaduni, Michezo na Utalii wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar nchini Tanzania amesema kutangazwa Mash'had kaskazini mashariki mwa Iran kuwa mji mkuu wa kiutamaduni wa ulimwengu wa Kiislamu utaandaa mazingira ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Zanzibar.
-
Rais wa Uturuki yuko Tanzania, asaini mikataba kadhaa ya maelewano
Jan 24, 2017 04:07Rais wa Uturuki yuko nchini Tanzania katika ziara rasmi ya kiserikali inayopania kuimarisha uhusiano wa pande mbili katika nyanja tofauti.
-
Rouhani: Iran iko tayari kuimarisha uhusiano wake na Albania
Jan 15, 2017 11:09Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema kipindi hiki cha baada ya vikwazo vya kidhalimu dhidi ya taifa hili sambamba na kutekelezwa makubaliano ya nyuklia ya Vienna ni mwafaka kwa kuimarisha uhusiano wa pande mbili wa Jamhuri ya Kiislamu na Albania.
-
Rais Teshome atoa wito wa kuimarishwa uhusiano wa Ethiopia na Iran
Jan 13, 2017 04:02Rais Mulatu Teshome wa Ethiopia amesisitizia umuhimu wa kuimarishwa uhusiano na ushirikiano wa pande mbili kati ya Tehran na Addis Ababa.