-
Qassemi: Waziri Mkuu wa Uingereza anajipendekeza kwa nchi za Kiarabu
Dec 08, 2016 04:13Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa vikali matamshi ya chuki dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu, yaliyotolewa jana na Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May, katika mkutano wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (P)GCC, na kusisitiza kuwa kauli hiyo inalenga kuzifurahisha na kuziridhisha nchi za Kiarabu za baraza hilo.
-
Uingereza, Marekani zinawatumia magaidi misaada ya silaha
Dec 06, 2016 00:08Marekani na Uingereza zinapanga mikakati mipya kuhusu namna ya kuwafikishia silaha magaidi katika maeneo wanayoyadhibiti ya Aleppo au Halab nchini Syria.
-
Waziri Mkuu wa Uingereza aunga mkono makubaliano ya nyuklia Iran
Dec 01, 2016 04:15Msemaji wa Theresa May Waziri Mkuu wa Uingereza amesema kuwa Bi May anaunga mkono kikamilifu Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) na anataka kutekelezwa kikamilifu makubaliano hayo.
-
Zaidi ya Misikiti 100 yahujumiwa nchini Uingereza, kuanzia Mei 2013
Nov 23, 2016 00:47Zaidi ya ya vituo vya Kiislamu na misikiti 100 imehujumiwa nchini Uingereza katika kipindi cha miaka minne iliyopita.
-
Maandamano makubwa zaidi dhidi ya serikali ya Uingereza
Nov 21, 2016 04:18Maelfu ya wanafunzi wa vyuo vikuu na wahadhiri nchini Uingereza wameshiriki katika maandamano makubwa zaidi kuwahi kushuhudiwa katika mitaa ya mji wa London.
-
Chama cha Liberal Democrats chataka kura mpya ya maoni kuhusu Brexit
Nov 12, 2016 00:37Chama cha Liberal Democrats nchini Uingereza kimetoa wito wa kuitishwa kura mpya ya maoni kuhusu uamuzi wa nchi hiyo kujiondoa katika Umoja wa Ulaya.
-
Johnson: Magaidi 130 wa Uingereza wameuawa nchini Syria
Nov 04, 2016 00:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amesema kuwa, raia 130 wa nchi hiyo wanachama katika kundi la kigaidi la Daesh wameuawa nchini Syria.
-
Tangazo la Balfour, chanzo cha ukosefu wa amani Mashariki ya Kati
Nov 02, 2016 03:46Matatizo yote ya kiusalama yaliyopo hivi sasa katika eneo nyeti la Mashariki ya Kati yanatokana na tangazo la Balfour.
-
Ulimwengu wa Michezo, Okt 31
Oct 31, 2016 03:58Ufuatao ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti kutoka kila kila dunia ndani ya siku saba zilizopita.
-
Ulimwengu wa Michezo, Okt 24
Oct 24, 2016 03:27Iran yaibuka ya 2 Kombe la Dunia mchezo wa Kabaddi; Mau U wachezea mkong'oto Stamford Bridge na Sundowns yatwaa Kombe la Klabu Bingwa Afrika.