-
SAUTI: Aliyemtukana Mtume Muhammad SAW Zanzibar azidi kulaaniwa
Jan 01, 2017 02:51Wiki hii, Waislamu wa visiwa vya Zanzibar nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla wameshtushwa na kulaani vikali kutukanwa Bwana Mtume Muhamma SAW visiwani humo.
-
Nasrullah: Misimamo ya kuchupa mipaka inataka kuchafua taswira halisi ya Uislamu
Dec 23, 2016 12:54Katibu Mkuu wa Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah amesema harakati za magenge ya kigaidi na kitakfiri yanayofanya jinai za kutisha eneo la Mashariki ya Kati na Kaskazini mwa Afrika hazina mafungamano yoyote na Uislamu na shakhsia wake mbora na mtukufu, Bwana Mtume Muhammad SAW.
-
Hujuma dhidi ya Uislamu yashika kasi nchini Uingereza
Dec 21, 2016 01:01Wimbi na hujuma na propaganda chafu dhidi ya Uislamu limeshika kasi zaidi na kulitia wasiwasi Baraza la Waislamu nchini Uingereza.
-
Mwislamu mwingine auawa Marekani kutokana na chuki za kidini
Dec 12, 2016 04:43Habari kutoka jimbo la California nchini Marekani zinasema kuwa raia mmoja wa nchi hiyo wa dini ya Kiislamu ameuawa nje ya msikiti katika tukio jingine linalodhihirisha chuki dhidi ya Uislamu nchini humo.
-
Maana ya Umoja na Mshikamano Baina ya Waislamu
Dec 11, 2016 07:20Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Hamjambo na karibuni kuwa nami katika kipindi cha kwanza cha mfululizo wa makala maalumu za Wiki ya Umoja wa Kiislamu zinazokujieni kwa mnasaba wa sherehe za Maulidi na tukio muhimu la kuzaliwa Mtume wa rehma na upendo, Muhammad (saw) katika mwezi huu wa Mfunguo Sita .
-
Jumatano, 30 Novemba, 2016
Dec 01, 2016 23:28Leo ni Jumatano tarehe 30 Safar 1438 Hijria sawa na 30 Novemba 2016.
-
Al Azhar: Uislamu umempa heshima kubwa mwanamke
Nov 16, 2016 04:25Mkuu wa Chuo Kikuu cha al Azhar cha Misri amesema kuwa, dini tukufu ya Kiislamu imempa heshima kubwa sana mwanamke na kutukuza nafasi yake muhimu katika jamii.
-
Jumatano, Nov 9, 2016
Nov 08, 2016 23:26Leo ni Jumatano tarehe 9 Safar 1438 Hijria sawa na Novemba 9, 2016.
-
Velayati: Ushindi unapatikana chini ya kivuli cha umoja
Oct 24, 2016 23:29Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Mwamko wa Kiislamu amesema kuwa, mahudhurio makubwa ya maulamaa wa Suni na Shia kutoka nchi mbalimbali katika Mkutano wa Mwamko wa Kiislamu uliofanyika nchini Iraq sambamba na operesheni ya kuukomboa mji wa Mosul kutoka kwenye makucha ya magaidi wa Daesh ni ujumbe mkubwa kwamba ushindi unapatikana katika kivuli cha umoja na mshikamano wa Waislamu.
-
Amani na Usalama katika Mtazamo wa Uislamu
Sep 25, 2016 09:28Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi katika kipindi cha wiki hii cha Makala ya Wiki ambacho kitazungumzia usalama na amani katika mtazamo wa Uislamu kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Amani.