-
Ethiopia yakataa wito wa UN na EU wa kufanyika uchunguzi dhidi yake
Apr 18, 2017 21:59Waziri Mkuu wa Ethiopia amekataa wito wa Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya wa kufanyika uchunguzi huru juu ya mauaji ya mamia ya watu wakati wa maandamano ya miezi kadhaa dhidi ya serikali ya Addis Ababa nchini humo.
-
EU: Hatutohamishia balozi zetu Quds tukufu kutoka Tel Aviv
Apr 04, 2017 11:21Katika hali ambayo Marekani imezungumzia mpango wa kuhamishia ubalozi wake ulioko Israel kutoka Tel Aviv na kuupeleka katika mji wa Quds tukufu huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu, Umoja wa Ulaya umesema nchi wanachama wake hazitofuata sera hizo za Washington.
-
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Ulaya: Trump atazusha vita vingine Balkan
Mar 24, 2017 22:21Mwenyekiti wa Kamisheni ya Ulaya amesema kuwa mienendo na mielekeo ya Rais Donald Trump wa Marekani itasababisha vita vipya katika eneo la Balkan huko Ulaya.
-
Iran kuanza kuziuzia nchi za Ulaya mapipa laki 8 ya mafuta kwa siku
Mar 20, 2017 04:32Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inatazamiwa kuongeza kiwango cha mauzo yake ya mafuta kwa nchi za Umoja wa Ulaya EU.
-
Kuongezwa muda vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia
Mar 15, 2017 09:49Jumatatu iliyopita Umoja wa Ulaya, ulitangaza kurefusha vikwazo kwa muda wa miezi sita mingine dhidi ya shakhsia na mashirika kadhaa ya Russia na eneo la Crimea, yaani hadi tarehe 15 Septemba mwaka huu.
-
EU yarefusha vikwazo dhidi ya Russia
Mar 14, 2017 01:00Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa umerefusha vikwazo vilivyowekwa na umoja huo kwa shakhsia na mashirika ya Russia na eneo la Crimea kwa muda wa miezi sita yaani hadi kufikia Septemba 15.
-
EU: Tutaipatia Gambia msaada wa Euro milioni 75 ili kujidhaminia chakula
Feb 10, 2017 00:56Neven Mimica, Kamishna wa Ushirikiano na Ustawi wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, umoja huo utaisaidia serikali ya Gambia msaada wa kiasi cha Euro milioni 75.
-
Morocco yatishia kuvunja uhusiano wa kiuchumi na EU
Feb 07, 2017 00:31Serikali ya Morocco imetishia kuvunja uhusiano wake wa kiuchumi na Umoja wa Ulaya (EU).
-
UN, EU, Vatican zakasirishwa na sheria ya ubaguzi ya Trump
Feb 02, 2017 04:02Umoja wa Mataifa, Umoja wa Ulaya na Vatican zimelaani sheria tata ya ubaguzi ya Rais Donald Trump wa Marekani, ya kuzuia wakimbizi na raia wa nchi saba za Kiislamu kuingia nchini humo.
-
Kuongezeka mivutano kati ya Umoja wa Ulaya na Burundi
Jan 28, 2017 09:04Hali ya mvutano kati ya Burundi na Umoja wa Ulaya ingali inaendelea na sasa serikali ya Bujumbura imeutuhumu umoja huo kuwa unakiuka mamlaka ya kitaifa ya nchi hiyo.