-
Wahajiri wengine 146 wahofiwa kufa maji wakielekea Ulaya
Mar 29, 2017 22:01Makumi ya wahajiri wanaaminika kuwa wamepoteza maisha baada ya boti yao kuzama katika bahari ya Mediterania.
-
Wanaharakati US wawafunza wahajiri njia za kupambana na siasa za Trump
Mar 13, 2017 13:02Wanaharakati wa kijamii nchini Marekani, wameanzisha utaratibu wa kuwapatia mafunzo wahajiri haramu juu ya namna ya kupambana na siasa zilizo dhidi ya wahajiri za Rais Donald Trump wa nchi hiyo.
-
Wahajiri wa Kiafrika wazidi kufa maji wakielea Ulaya
Mar 04, 2017 03:51Makumi ya wahajiri wa Kiafrika wanahofiwa kufa maji katika Bahari ya Mediterranean wakijaribu kuelekea barani Ulaya.
-
UNICEF: Watoto Waafrika wavukao Mediteranea kuelekea Ulaya wanateswa vibaya
Mar 01, 2017 00:27Safari ya watoto wanaokimbia mizozo na mateso Afrika kwenda Ulaya kupitia bahari ya Mediteranea imegubikwa na mateso ikiwemo ukatili wa kingono na kulazimishwa kufanya kazi.
-
Hilali Nyekundu: Wahajiri 74 wafa maji pwani ya Libya wakielekea Ulaya
Feb 21, 2017 10:25Shirika la Hilala Nyekundu la Libya limesema makumi ya wahajiri wamekufa maji katika Bahari ya Mediterranean wakijaribu kuelekea barani Ulaya.
-
Maandamano makubwa ya kuwaunga mkono wahajiri yafanyika Uhispania
Feb 19, 2017 04:10Katika hali ambayo Rais Donald Trump wa Marekani anatazamiwa wiki ijayo kutangaza 'sheria kali zaidi' za kudhibiti wahajiri na raia wa nchi saba za Kiislamu, mamia ya maelfu ya wananchi wamefanya maandamano Uhispania kuonyesha uungaji mkono wao kwa wajahiri.
-
Kupinga Libya suala la kupatiwa makazi wahajiri katika ardhi ya nchi hiyo
Feb 07, 2017 09:37Katika hali ambayo, Libya ingali inakabiliwa na changamoto kubwa za kisiasa na kiuchumi, suala la wahajiri wanaoelekea Ulaya kupitia nchi hiyo nalo limegeuka na kuwa tatizo jingine kubwa kwa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Italia kuzisaidia kifedha nchi za Kiafrika ili ziwazuie wahajiri wasielekee Ulaya
Feb 01, 2017 23:22Italia imeanzisha mfuko wa fedha wa kuzisaidia nchi za Kiafrika ziimarishe zaidi mipaka yao ili kujaribu kuepusha wahajiri kusafiri kwa kutumia boti dhaifu na hatarishi za mipira kwa ajili ya kuelekea barani Ulaya.
-
Dunia yalaani hatua ya Trump kuwazuia Waislamu kuingia Marekani
Jan 29, 2017 10:15Hatua ya rais Donald Trump kuwazuia wahamiaji Waislamu kuingia nchini humo inaendelea kulaani na kukoslewa kote duniani na Marekani kwenywe.
-
Wahajiri 219 wamezama katika Bahari ya Mediterranea
Jan 18, 2017 00:39Wahajiri na wakimbizi wapatao 219 wamezama katika Bahari ya Mediterranea katika wiki mbili za kwanza za mwaka 2017 hii ikiwa ni mara mbili zaidi ya kipindi sawa na hiki mwaka jana.