Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

wakimbizi

  • UN: Watu milioni 65 wamelazimika kuwa wakimbizi duniani

    UN: Watu milioni 65 wamelazimika kuwa wakimbizi duniani

    Jun 20, 2016 03:38

    Idadi ya wakimbizi duniani imeendelea kuvunja rekodi na kutia wasi wasi, ambapo watu milioni 65.3 wamelazimika kuwa wakimbizi katika kona mbali mbali za dunia kufikia mwishoni mwa mwaka jana 2015.

  • Wakimbizi wa Eritrea wapokea msaada wa kimatibabu Ethiopia

    Wakimbizi wa Eritrea wapokea msaada wa kimatibabu Ethiopia

    Jun 20, 2016 02:41

    Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka limeanza kuwapa msaada wa kimatibabu wakimbizi wa Eritrea ambao wamekimbilia Ethiopia kutokana na kushtadi mapigano mpakani mwa nchi mbili hizo jirani.

  • Kuongezeka idadi ya wahajiri wa Kiafrika wanaoelekea Ulaya

    Kuongezeka idadi ya wahajiri wa Kiafrika wanaoelekea Ulaya

    Jun 19, 2016 22:56

    Taasisi ya kudhibiti na kusimamia mipaka ya nchi za Ulaya, imetabiri kuwa katika miezi ijayo karibu kila wiki jumla ya wahajiri elfu 10 kutoka nchi za Kiafrika wataingia barani humo kupitia bahari ya Mediterranean.

  • UN yakosoa kuzuiliwa wakimbizi katika nchi za Ulaya

    UN yakosoa kuzuiliwa wakimbizi katika nchi za Ulaya

    Jun 13, 2016 11:05

    Umoja wa Mataifa umeelezea wasi wasi kuhusu habari za kuzuiliwa wakimbizi wakiwemo watoto wadodo katika mazingira ya kutisha barani Ulaya.

  • Mkuu wa UNHCR azuru Kenya kujadili kurejeshwa nyumbani wakimbizi kutoka Somalia

    Mkuu wa UNHCR azuru Kenya kujadili kurejeshwa nyumbani wakimbizi kutoka Somalia

    Jun 10, 2016 09:50

    Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Wakimbizi UNHCR Filippo Grandi yuko nchini Kenya ili kutathmini hali ya kambi ya wakimbizi ya Dadaab baada ya Kenya kuchukua uamuzi wa kufunga kambi hiyo yenye wakimbizi kutoka Somalia.

  • Maelfu ya wakimbizi waokolewa katika Bahari ya Mediterranean

    Maelfu ya wakimbizi waokolewa katika Bahari ya Mediterranean

    Jun 09, 2016 23:32

    Gadi ya fukwe za bahari ya Italia imetangaza habari kwamba imewaokoa maelfu ya wakimbizi katika Bahari ya Mediterranean katika siku za Jumatano na Alkhamisi.

  • Somalia: Tuko tayari kuwapokea wakimbizi wa Dadaab

    Somalia: Tuko tayari kuwapokea wakimbizi wa Dadaab

    Jun 08, 2016 09:55

    Rais Hassan Sheikh Mohamoud wa Somalia amesema nchi yake iko tayari kuwapokea raia wake kutoka kambi ya ya wakimbizi ya Dadaab nchini Kenya, kwa shabaha ya kuwapa fursa wakimbizi hao kujenga taifa lao.

  • Wasiwasi wa UNHCR kuhusu kutimuliwa Waeritrea nchini Sudan

    Wasiwasi wa UNHCR kuhusu kutimuliwa Waeritrea nchini Sudan

    Jun 03, 2016 09:57

    Shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia wakimbizi la UNHCR limesema, lina hofu kubwa na hatua y ahivi karibuni ya kutimuliwa raia wa Eritrea walioko Sudan.

  • Kenya yahimiza kufungwa kambi kubwa ya wakimbizi duniani ya Dadaab

    Kenya yahimiza kufungwa kambi kubwa ya wakimbizi duniani ya Dadaab

    Jun 01, 2016 11:08

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya amesema kuwa, kambi ya wakimbizi ya Dadaab iliyoko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo itakuwa imefungwa ifikapo mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka huu.

  • Wasiwasi wa Umoja wa Mataifa kuhus jinai za Daesh huko Falluja, Iraq

    Wasiwasi wa Umoja wa Mataifa kuhus jinai za Daesh huko Falluja, Iraq

    May 30, 2016 23:48

    Msemaji wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa amesema jinai zinazotekelezwa na magaidi wa kundi la Daesh katika mji wa Falluja huko Iraq zinatia wasiwasi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS