-
Zaidi ya watu 38 wauawa mashariki mwa Libya
Aug 17, 2016 03:57Baraza la Shura ya Wanamapinduzi la Benghazi limetangaza kuwa wapiganaji 38 watiifu kwa Jenerali Khalifa Haftar wameuawa katika mapigano na vikosi vitiifu kwa baraza hilo huko Benghazi mashariki mwa Libya.
-
Watu 5 wauawa katika mapigano Mali, askari 5 watoweka
Aug 10, 2016 03:38Kwa akali watu watano wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mapigano makali yaliyojiri kati kati ya Mali, huku duru za kiusalama zikiarifu kuwa askari watano wa serikali wametoweka baada ya kujiri mapigano hayo.
-
Raia 33 wa Yemen wauawa katika hujuma ya anga ya Saudia
Aug 09, 2016 13:15Kwa mara nyingine tena ndege za kijeshi za Saudi Arabia zimeshambulia maeneo ya makazi ya watu na kuua makumi ya raia wasio na hatia katika mikoa kadhaa ya Yemen hii leo.
-
Watu 14 wauawa katika mashambulio ya waasi mashariki mwa Kongo DR
Aug 08, 2016 14:43Watu 14 wameuawa katika mashambulio yaliyofanywa na makundi yanayobeba silaha mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Kimbunga, maporomoko ya ardhi yaua 40 Mexico
Aug 08, 2016 07:36Makumi ya watu wameuawa kufuatia kimbunga kikali, maporomoko ya ardhi na mvua zinazoendelea kunyesha mashariki mwa Mexico.
-
Magaidi 150 wa Daesh waangamizwa mashariki mwa Syria
Aug 06, 2016 03:48Jeshi la Syria limefanikiwa kuangamiza makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika mkoa wa Deir Ez-Zour, mashariki mwa nchi mapema jana Ijumaa.
-
42 wauawa na kujeruhiwa katika shambulizi la bomu Libya
Aug 03, 2016 03:57Makumi ya watu wameuawa na kujeruhiwa katika shambulizi la bomu la kutegwa garini lililolenga wanajeshi wa serikali katika mji wa Benghazi, mashariki mwa Libya.
-
Waasi wa FLEC wadai kuua askari 17 wa jeshi la Angola
Aug 02, 2016 07:57Waasi wa kundi linalopigania kujitenga eneo la Cabinda nchini Angola FLEC wamedai kwamba wameua askari 17 wa nchi hiyo katika makabiliano makali yaliyojiri mwishoni mwa wiki iliyomalizika.
-
Askri kadhaa wa Libya wauawa katika mapigano mapya Sirte
Jul 30, 2016 08:03Mapigano mapya baina ya askari wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya na genge la kigaidi la Daesh yamesababisha mauaji ya askari watano wa serikali katika mji wa Sirte, kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Magaidi 120 wa Daesh wauawa Afghanistan
Jul 27, 2016 04:00Makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wameuawa katika operesheni kali ya jeshi la Afghanistan, katika mkoa wa Nangarhar, kaskzini mwa nchi.