-
Iran yalaani mauaji ya wanaharakati Bahrain, upinzani waitisha maandamano nchi nzima
Jan 16, 2017 03:52Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hatua ya utawala wa Aal-Khalifa wa Bahrain ya kuwanyonga wanaharakati watatu wa nchi hiyo kwa madai bandia ya kuhusika na shambulizi la kigaidi la mwaka 2014.
-
Adama Barrow asema yuko tayari kufanya mazungumzo na Jammeh
Jan 13, 2017 08:07Mshindi wa uchaguzi wa Rais nchini Gambia, Adama Barrow amesema yuko tayari kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Rais Yahya Jammeh, ambaye alipinga matokeo hayo.
-
Dakta Shein amjibu Maalim Seif, asema madai yake ni ya kipropaganda
Jan 10, 2017 08:18Rais wa Zanzibar Dakta Ali Mohamed Shein amewataka wananchi visiwani humo kuacha kusikiliza kile alichokitaja kuwa maneno ya propaganda kutoka kwa wapinzani kwa kuwa katu hakuna Rais mwingine atakayeongoza Zanzibar wakati yeye yupo madarakani.
-
Besigye atoa masharti ya kufanya mazungumzo na Rais Museveni
Jan 04, 2017 07:30Kinara wa upinzani nchini Uganda ametoa masharti matano kwa serikali ya Rais Yoweri Museveni iwapo inataka kufanya mazungumzo ya kitaifa kuhusu mustakabali wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Chama kikuu cha upinzani Msumbiji charefusha muda wa usitishwaji vita
Jan 03, 2017 14:21Chama kikuu cha upinzani nchini Msumbiji kimetangaza kurefusha muda wa usitishaji vita kati yake na serikali kwa muda wa miezi miwili, ili kutoa nafasi kwa mazungumzo ya amani.
-
Hatimaye Kongo DR yafikia muafaka wa kisiasa, Kabila kuachia madaraka 2017
Dec 31, 2016 07:30Hatimaye serikali na upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimefikia muafaka, ambapo Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo amekubali kung'atuka uongozini mwishoni mwa mwaka ujao 2017.
-
Serikali ya DRC yawaachia huru wanaharakati wa upinzani
Dec 28, 2016 14:10Polisi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imewaachia huru wanaharakati wa upinzani waliokamatwa hivi karibuni katika maandamano dhidi ya serikali ya Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo.
-
Wapinzani DRC watoa sharti la kukubali muafaka wa kisiasa
Dec 24, 2016 07:45Wapinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wametoa sharti ambalo wanasema lazima upande wa serikali ulikubali ili waunge mkono muafaka hafifu wa kisiasa uliofikiwa jana.
-
Indhari ya Odinga juu ya kufanyika uchaguzi usio wa kidemokrasia nchini Kenya
Dec 23, 2016 16:44Huku vuta nikuvute baina ya serikali na mrengo wa upinzani nchini Kenya kuhusiana na mchakato wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2017 ukiwa unaendelea, kinara wa muungano wa upinzani wa CORD Raila Odinga ametahadharisha tena juu ya kufanyika uchaguzi usio wa kidemokrasia nchini humo.
-
Viongozi wa kidini Kenya wamtaka Uhuru asiidhinishe marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi
Dec 23, 2016 16:25Viongozi wa kidini nchini Kenya wamemtaka Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo asisaini muswada wa marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi ambao uliidhinishwa na Bunge la Kitaifa hapo jana.