-
Kuendelea malalamiko na maandamano ya wananchi nchini Ethiopia
Oct 08, 2016 12:46Malalamiko ya wananchi na maandamano ya wapinzani wa kisiasa wa serikali ya sasa ya Ethiopia yangali yanaendelea.
-
Hatima ya Mugabe kutolewa madarakani na mahakama ya katiba Zimbabwe
Oct 08, 2016 14:05Hatima ya Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ambaye ameiongoza nchi hiyo tangu ijinyakulie uhuru sasa ipo mikononi mwa mahakama ya katiba ya nchi hiyo.
-
Wapinzani Kongo DR wasusia mazungumzo ya kitaifa
Sep 24, 2016 04:36Wapinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamesusia kushiriki kikao cha mazungumzo ya kitaifa.
-
Mkuu wa upinzani Gabon ataka kufanyika mgomo wa nchi nzima
Sep 05, 2016 13:59Jean Ping kiongozi wa upinzani nchini Gabon leo ametoa wito wa kufanyika mgomo wa nchi nzima dhidi ya kile alichokiita kuwa ushindi wa kuingia tena madarakani kwa udanganyifu kwa Ali Bongo.
-
Wapinzani Gabon waomba msaada wa kimataifa
Sep 01, 2016 15:48Kiongozi wa upinzani Gabon huko katikati mwa Afrika ameomba msaada wa kimataifa ili kusaidia kuwalinda raia nchini humo kufuatia shambulio lililofanywa na vikosi vya serikali kwenye makao makuu ya wapinzani huko Libreville mji mkuu wa nchi hiyo, baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi wa Rais yaliyopingwa na wapinzani.
-
Rais wa Zambia ataka wapinzani waache fujo
Aug 24, 2016 15:22Rais mteule wa Zambia, Edgar Lungu amewataka wapinzani wa nchi hiyo waache vitendo vya fujo na watumie njia za amani kuelezea malalamiko yao.
-
Kutangazwa muda wa kujiuzulu Rais Omar al Bashir wa Sudan
Aug 22, 2016 08:02Rais Omar al Bashir wa Sudan ametangaza kuwa, ana nia ya kuachia madaraka ifikapo mwaka 2020. Amesema atalazimika kuachana na siasa kwani katiba ya Sudan haitomruhusu kubakia madarakani.
-
133 wakamatwa na polisi Zambia kwa kupinga ushindi wa Rais Lungu
Aug 16, 2016 15:21Polisi nchini Zambia imewatia mbaroni makumi ya wafuasi wa upinzani wanaopinga ushindi wa Rais Edgar Lungu katika uchaguzi wa rais uliofanyika Alkhamisi iliyopita.
-
Mkutano mkubwa wa wapinzani wa serikali ya Zimbabwe katika mji mkuu Harare
Aug 16, 2016 03:46Viongozi wa mrengo wa upinzani unaoipinga serikali ya Zimbabwe wamekusanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo Harare na kufanya mkutano mkubwa uliowajumuisha wafuasi wa vyama vya upinzani.
-
Upinzani Ethiopia: Serikali iache kuua na kukandamiza waandamanaji
Aug 14, 2016 06:53Vyama vya upinzani nchini Ethiopia vimevunja kimya chao na kuitaka serikali ya nchi hiyo kukomesha mauaji na ukandamizaji dhidi ya waandamanaji.