Kinyang'anyiro cha ubunge chaingia kasi nchini Rwanda
Aug 16, 2018 03:36 UTC
Nchini Rwanda, kampeni za ubunge za kuwania viti vya uwakilishi bungeni katika uchaguzi wa uliopangwa kufanyika mwezi ujao wa Septemba zinaendelea.
Vyama sita vya siasa vimeungana na chama tawala cha RPF; hali inayoashiria uwezekano mkubwa wa kuchukuliwa viti vingi na chama hicho tawala katika uchaguzi ujao. Mwandishi wetu wa Kigali, Sylvanus Karemera ametuandalia ripoti maalumu kuhusu habari hiyo...
Tags