DRC yalalamikia uingiliaji wa Marekani katika uchaguzi wa nchi hiyo + Sauti
Nov 05, 2018 03:49 UTC
Viongozi wa Jamhuri ya Kidemokrsia ya Kongo wamelalamikia ripoti mpya ya Chuo kikuu cha New York cha nchini Marekani kilichodai kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwezi ujao wa Disemba huko DRC utakuwa wa hatari zaidi kuliko hata inavyotarajiwa. Mwandishi wetu Mossi Mwassi na maelezo zaidi kutoka mjini Brazzaville.
Tags