-
Tukio la kupigwa risasi Trump; ishara ya kuongezeka ghasia za kisiasa nchini Marekani
Jul 14, 2024 09:52Tukio la kupigwa risasi Donald Trump, rais wa zamani wa Marekani wakati akizungumza kwenye kampeni ya uchaguzi mbele ya wafuasi wake huko Butler, Pennsylvania, Jumamosi jioni, huku uchaguzi wa rais ukikaribia kufanyika nchini humo, limeibua gumzo kubwa la kisiasa katika vyombo vya habari vya Marekani.
-
BRICS, msingi wa Uhusiano wa Kimkakati kati ya Iran na Russia
Jul 13, 2024 23:26Uanachama wa Iran katika Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) na BRICS umeweka msingi wa kuendelea zaidi uhusiano na ushirikiano wa kistratijia wa Tehran na Moscow.
-
Msimamo wa Erdoğan kuhusu ushirikiano wa NATO na utawala wa Kizayuni
Jul 13, 2024 02:15Rais wa Uturuki amesema kuwa, ushirikiano wa Shirika la la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) na utawala wa Kizayuni wa Israel hauwezi kuendelea kwa sababu utawala huo ghasibu unakiuka thamani na maadili ya kimsingi ya muungano huo.
-
Kuongezeka vikwazo vya kimataifa dhidi ya utawala haramu wa Israel
Jul 12, 2024 22:44Moja ya hatua za wazi za kuuwekea mashinikizo na kuutenga utawala wa Kizayuni, ambazo zimeshika kasi katika miezi ya hivi karibuni kutokana na kuendelea vita vya umwagaji damu vya utawala huo huko Ghaza, ni kupanuka kwa harakati ya kuisusia Israel katika ngazi za kimataifa.
-
Wasiwasi wa Washington juu ya ushawishi wa Iran kati ya watetezi wa Palestina huko Marekani
Jul 12, 2024 07:11Harakati ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Marekani iliyotikisa maeneo yote ya hiyo na kusababisha mamia ya maandamano, mikusanyiko na migomo katika vyuo vikuu kulalamikia jinai na uhalifu wa Israel hususan mauaji ya kimbari ya watu wa Gaza imekabiliwa na hasira kali ya serikali ya Washington.
-
Ongezeko lisilo na mfano wake la Wazayuni kuhama kinyumenyume kutoka ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
Jul 11, 2024 23:32Vyombo vya habari vya utawala ghasibu wa Israel vimeripoti kutokea ongezeko kubwa la wahajiri wa Kizayuni wanaohama kutoka ardhi zinazokaliwa kwa mabavu huko Palestina kuelekea nchi nyingine za dunia.
-
Azma ya Pakistan ya kuimarisha uhusiano wa pande zote na Iran
Jul 11, 2024 03:47Muhammad Shahbaz Sharf Waziri Mkuu wa Pakistan amesisitiza katika mazungumzo ya simu na Masoud Pezeshkian Rais Mteule wa Iran kuwa Islamabad iko tayari kustawisha uhusiano na Tehran. Waziri Mkuu wa Pakistan amesema kuwa mapatano yaliyofikiwa na nchi mbili katika ziara ya mwezi Aprili ya Rais Shahidi Raisi wa Iran huko Pakistan ni nukta muhimu katika uhusiano wa pande mbili.
-
Duru mpya ya mashambulizi ya kinyama na yasiyo ya kibinadamu ya utawala wa Kizayuni Ukanda wa Gaza
Jul 10, 2024 23:04Duru mpya ya mashambulizi ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza inajiri huku jeshi la utawala huo likiendelea kupata vipigo na kushindwa katika mapigano na vita mkabala wa makundi ya muqawama ya Palestina.
-
Kuendelea mvutano kati ya Waziri Mkuu na Jeshi la Kizayuni
Jul 10, 2024 04:53Mzozo kati ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu, na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel unaendelea kuongezeka huko Tel Aviv.
-
Umoja wa Ulaya uko tayari kuimarisha ushirikiano na Iran
Jul 09, 2024 22:55Msemaji wa Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema umoja huo uko tayari kwa ajili ya kupanua wigo wa ushirikiano wa pande mbili na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.