-
Uhalali wa kisheria wa Iran kujihami dhidi ya vitisho vya Marekani
Jan 27, 2026 09:00Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lazima lieleze ukiukwaji uliofanywa na Marekani kwa uwazi na kwa majina yao halisi.
-
Ugaidi wa ndani nchini Marekani na mtazamo wa undumakuwili wa Washington
Jan 26, 2026 23:02Waziri wa Usalama wa Ndani wa Marekani ametaja aina yoyote ya uchochezi au utekelezaji wa vurugu dhidi ya serikali kuwa ni mfano wa ‘ugaidi wa ndani’.
-
Je, vyombo vya habari vinavyohasimiana na Iran vinakiuka sheria za kimataifa katika upotoshaji?
Jan 26, 2026 09:26Kadiri wimbi la fitina, vurugu na machafuko yanayohusishwa na ushawishi wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Iran lilivyozidi kupamba moto, nafasi ya vyombo vya habari hasimu katika kuchochea vitendo vya ugaidi na kukiuka wazi misingi ya sheria za kimataifa imejitokeza kwa uwazi tena.
-
Greenland; kulegeza msimamo Trump au kubadilisha mbinu?
Jan 25, 2026 23:04Vyanzo vya habari, vikiwanukuu maafisa wa NATO na Rais wa Marekani Donald Trump, vimeripoti kuanza mazungumzo kati ya Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO, Marekani na Denmark kuhusu kisiwa cha Greenland pambizoni mwa mkutano wa Davos.
-
Usitishaji vita wa kimaonyesho Gaza; kifuniko cha Wazayuni cha kuendeleza jinai
Jan 25, 2026 08:25Mkurugenzi wa Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa katika maeneo ya Palestina ameonya kuhusu kuendelea kuuawa raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Bodi ya Amani ya Gaza, jaribio la Trump la kudhoofisha Umoja wa Mataifa
Jan 25, 2026 00:38Tangazo la Marekani la kuunda Bodi ya Amani ya Gaza limeibua wasiwasi mkubwa kuhusu jaribio la Trump la kudhoofisha Umoja wa Mataifa, sambamba na kupeleka mbele ajenda yake binafsi ya kupenda jaha na kujipanua kisiasa.
-
Kwa nini Baraza la Haki za Kibinadamu la UN, linaichafua Iran, sambamba na Marekani?
Jan 24, 2026 10:06Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa limefuata sera ya Marekani ya kuichafua Iran kwa kupasisha azimio dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Kwa nini rais wa Brazil amemkejeli Trump?
Jan 23, 2026 23:17Rais Lula da Silva wa Brazil amemkejeli Rais Donald Trump wa Marekani kutokana na tweet nyingi za kutatanisha anazoandika katika mitandao ya kijamii.
-
Ubepari; unyonyaji wa maliasili na shinikizo kwa mazingira
Jan 23, 2026 04:41Ubepari, kama mojawapo ya mifumo mikuu ya kiuchumi katika ulimwengu wa sasa, umeundwa kwa kuzingatia ulimbikizaji wa mtaji, faida na upanuzi wa masoko usio na kikomo.
-
Iran, mshirika mkuu wa kibiashara wa Afghanistan; uagizaji wa Kabul kutoka Tehran wapanda hadi dola bilioni 3.45
Jan 22, 2026 23:50Kiwango cha mabadilishano ya biashara kati ya Iran na Afghanistan kinaongezeka. Serikali ya Taliban imetangaza kuwa, uhusiano wa kibiashara kati ya Iran na Afghanistan umeongezeka hadi dola bilioni tatu na nusu.