-
Onyo jipya kuhusu kuingia NATO katika vita vya Ukraine
Apr 23, 2024 00:55Viktor Orbán, Waziri Mkuu wa Hungary amesema katika taarifa kwamba viongozi wa Umoja wa Ulaya na Jumuiya ya Kujihami ya Kijeshi ya Magharibi (NATO) wanauchukulia mzozo wa Moscow na Kyiv kuwa ni wao na wala hawazingatii hatari ya kujihusisha na mzozo huo. Ameonya kuwa NATO inakaribia kutuma askari wake huko Ukraine.
-
Juhudi kubwa za Iran za kupunguza umaskini na kuongeza ustawi katika jamii
Apr 22, 2024 09:50Takwimu mpya zilizochapishwa na Benki ya Dunia zinaonyesha kuwa, umaskini mutlaki umepungua kwa kiasi kikubwa nchini Iran katika miaka ya hivi karibuni.
-
Msaada wa kijeshi wenye thamani ya dola bilioni 26 wa Marekani kwa Israel sambamba na vita vya Gaza
Apr 21, 2024 23:02Baada ya mabishano na mvutano kati ya Wademokrat na Warepublican na Hitilafu za pande hizo mbili juu ya msaada wa kigeni, Baraza la Wawakilishi la Marekani limeidhinisha kifurushi cha msaada wa dola bilioni 60 kwa Ukraine na kifurushi kiingine cha dola bilioni 26 kama msaada wa kijeshi kwa Israel kwa kura 366 dhidi ya 58.
-
Kukandamizwa nchini Marekani wanafunzi wanaounga mkono Palestina
Apr 21, 2024 08:00Polisi ya New York imewakamata zaidi ya wanafunzi 100 wanaounga mkono Palestina katika Chuo Kikuu cha Columbia ikiwa ni hatua ya wazi ya kuunga mkono jinai za utawala wa Kizayuni.
-
Mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza na uwezekano wa Qatar kuangalia upya sera zake za kigeni za usuluhishi
Apr 20, 2024 22:47Muhammad bin Abdulrahman Al Thani Waziri Mkuu wa Qatar amesema kuwa nchi hiyo inatathmini upya nafasi yake kama msuluhishi kati ya Israel na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas).
-
Marekani; kizuizi kikuu kwa Palestina kuwa mwanachama kamili katika Umoja wa Mataifa
Apr 20, 2024 08:47Marekani ambayo ni muungaji mkono mkuu wa Israel kwa mara nyingine imetumia kura ya turufu (Veto) na kuzuia kupasishwa uanachama kamili wa Palestina ndani ya Umoja wa Mataifa.
-
Mashtaka ya Saudia dhidi ya Imarati, hatua ya aina yake katika uhusiano wa nchi mbili
Apr 19, 2024 23:12Saudi Arabia imewasilisha malalamiko dhidi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kutokana na mzozo wa mpaka.
-
Kupingwa njama za Netanyahu za kutaka kususiwa shughuli za UNRWA ndani ya Baraza la Usalama
Apr 19, 2024 11:57Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limefanya kikao kujadili shughuli za Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada kwa Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) kufutia maombi ya Algeria na Jordan.
-
Ustawi wa biashara ya nje yenye mlingano chini ya uongozi wa serikali ya 13 ya Iran
Apr 18, 2024 23:14Kituo cha Takwimu cha Kamisheni ya Ulaya kimetangaza kuwa Katika mwezi wa kwanza wa mwaka huu wa 2024, uagizaji wa bidhaa wa Ugiriki kutoka Iran uliongezeka mara 3 na Uholanzi mara 2, nayo mauzo ya Uhispania kwa Iran yakaongezeka kwa asilimia 62 na Italia kwa asilimia 13.
-
Kukiri Pentagon kuhusu uwezo wa kijeshi wa Iran katika kuujibu utawala wa Kizayuni
Apr 18, 2024 08:49Patrick Ryder Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) amekiri juu ya nguvu za kijeshi za Iran katika kutoa jibu la kijeshi kwa utawala wa Israel.