-
Kupokewa vizuri ripoti ya UN kuhusu mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel huko Ghaza
Mar 28, 2024 23:08Tathmini ya ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya Palestina juu ya mauaji ya umati yanayofanywa na Israel kwenye Ukanda wa Ghaza imepokewa vizuri na kuungwa mkono na wawakilishi wa nchi za dunia ndani ya umoja huo.
-
Subira ya kihistoria ya watu wa Ghaza, sababu kuu ya kufedheheka Israel duniani
Mar 28, 2024 06:02Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kwenye mazungumzo yake na Ismail Hania, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS kwamba, subira ya kihistoria na kusimama imara wananchi wa Ghaza mbele ya jinai za utawala wa Kizayuni kumeifanya kadhia ya Palestina kuwa suala kuu nambari moja duniani.
-
Msisitizo wa Iran juu ya haki yake katika medani ya gesi ya Arash
Mar 28, 2024 02:20Naibu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Masuala ya Sheria, Mohammed Dehghan, amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu haitafumbia jicho kwa hali yoyote ile haki zake katika medani ya pamoja ya gesi ya Arash na haitaruhusu upande wowote kukiuka sheria za kimataifa katika suala hili.
-
Safari ya pili ya Haniyeh mjini Tehran baada ya operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa
Mar 27, 2024 02:57Ismail Haniyeh, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas, aliwasili Jumanne ya jana mjini Tehran ikiwa ni safari yake ya pili baada ya operesheni ya Kimbunga cha Al Aqsa katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.
-
Kuendelea kushambuliwa na kuzingirwa hospitali za Gaza na utawala wa Kizayuni
Mar 26, 2024 22:36Licha ya wasiwasi mkubwa na maonyo ya mara kwa mara ya viongozi wa nchi mbalimbali na taasisi za kimataifa, utawala wa Kizayuni bado unaendelea kushambulia na kuzizingira hospitali za Gaza.
-
Kuendelea jinai za Israel: Unyakuzi mkubwa zaidi wa ardhi za Ukingo wa Magharibi tangu 1993
Mar 26, 2024 09:02Licha ya kuwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetangaza kuwa mpango wa Israel wa kupanua vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ni kinyume cha sheria, lakini katika hatua mpya, utawala unaokalia kwa mabavu Quds Tukufu umenyakua ardhi ya hekta 800 katika Bonde la Jordan kwenye Ukingo wa Magharibi kwa ajili ya ujenzi wa mamia ya nyumba za walowezi.
-
Undumakuwili wa Marekani kuhusiana na utawala wa Kizayuni na vita vya Gaza
Mar 25, 2024 22:39Marekani, ikiwa ni mshirika muhimu zaidi na muungaji mkono asiye na masharti wa utawala wa Kizayuni wa Israel, inatekeleza sera ya undumakuwili kuhusu utawala huo na jinai zake. Kwa upande mmoja, katika kitendo cha kuonyesha mshikamano na Israel, Washington imetangaza msaada mpya wa kijeshi kwa utawala huo sambamba na kukata misaada kwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Wapalestina UNRWA.
-
Guterres akiri kashfa ya kimaadili ya utawala wa Kizayuni katika kuzuia misaada ya kibinadamu kuingia Gaza.
Mar 25, 2024 22:30Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, ametembelea kivuko cha Rafah (kati ya Ukanda wa Gaza na Misri), katika mwezi wa sita wa mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni huko Gaza, na kukitaja kitendo cha utawala huo wa Kizayuni cha kuzuia misaada ya kibinadamu kuingia Gaza kuwa ni "kashfa ya kimaadili".
-
Kufeli propaganda dhidi ya Hamas na kuongezeka umaarufu wa harakati hiyo huko Gaza
Mar 24, 2024 22:39Licha ya kuenea propaganda sumu za vyombo vya habari vya Magharibi na baadhi ya nchi za Kiarabu, lakini kura za uchunguzi wa maoni zinaonyesha kuwa wakazi wengi wa Ukanda wa Gaza wanaridhishwa na utendaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina (Hamas).
-
Ugaidi, changamoto ya pamoja ya kieneo na wajibu wa kuwa macho
Mar 24, 2024 09:14Katika kipindi cha chini ya wiki moja kumetokea miripuko miwili na shambulio kubwa la kigaidi na la umwagaji damu huko Kandahar Afghanistan na kwenye viunga vya mji mkuu wa Russia, Moscow.