-
Mashambulizi makubwa dhidi ya Iraq na Syria; Chokochoko mpya za Marekani eneo la Asia Magharibi
Feb 03, 2024 23:07Marekani ambayo kwa miaka kadhaa sasa imevuruga amani ya eneo la Magharibi mwa Asia kutokana na uwepo wake wa kijeshi katika eneo hilo ili kufanikisha malengo yake na ya washirika wake, imekuwa ikiyumbisha usalama wa eneo hilo nyeti na muhimu kwa kufanya mashambulizi na uvamizi wa mara kwa mara.
-
Kusambaratishwa mitandao ya kijasusi ya "Mossad" nchini Iran
Feb 03, 2024 08:32Wizara ya Intelijensia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa imefichua vibaraka kadhaa wa shirika la ujasusi la Israel, Mossad katika nchi 28 duniani.
-
UN yaipongeza Iran kwa hatua madhubuti katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya
Feb 02, 2024 23:01Mkuu wa Idara ya Huduma za Sayansi na Maabara ya Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kukabiliana na Mihadarati na Uhalifu (UNODC) amepongeza hatua za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kupambana na dawa za kulevya.
-
Hukumu ya kifungo cha miaka 10 jela dhidi ya Imran Khan
Feb 02, 2024 11:17Mahakama ya Nyaraka za Siri ya Pakistan imemhukumu Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo Imran Khan na msaidizi wake wa karibu, waziri wa zamani wa mashauuri ya Kigeni Shah Mahmood Qureshi, kifungo cha miaka 10 jela katika kesi inayohusiana na uvujishaji wa siri za serikali.
-
Kwa nini utawala wa Kizayuni unaitishia Lebanon mara kwa mara?
Feb 01, 2024 23:06Yoav Gallant, Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel meidai katika matamshi yake kuwa yaliyojiri Gaza huenda yakajikariri nchini Lebanon.
-
Kuanza Alfajiri Kumi za Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Feb 01, 2024 08:55Leo (Alhamisi), tarehe 12 Bahman 1402 Hijria Shamsia inayosadifiana na tarehe Mosi Februari 2024, ni mwanzo wa siku kumi zlizobarikiwa za alfajiri ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
UNRWA, wenzo wa Israel na nchi za Magharibi kuzidisha mauaji ya kimbari huko Gaza
Jan 31, 2024 23:31Baada ya takriban miezi minne ya mashambulizi yasiyo na tija ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Gaza kwa lengo la kuangamiza Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, na kushindwa kuvunja azma na irada ya wakazi wa eneo hilo, Wazayuni wakishirikiana na baadhi ya waitifaki wao wa Magharibi, sasa wanalenga kusambaratisha Shirika la Umoja wa Mataifa la Msaada kwa Wakimbizi wa Kipalestina, UNRWA.
-
Kupanuka mpasuko ndani ya serikali ya Israel; Netanyahu kwenye ncha ya wembe
Jan 31, 2024 08:42Moja ya sababu za kushindwa Israel kufikia malengo yaliyokusudiwa katika vita vya Gaza ni kupanuka hitilafu katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Kiwewe cha Marekani na madai yao ya kila siku dhidi ya Iran
Jan 30, 2024 23:16Baada ya kutokea shambulio dhidi ya kambi ya kijeshi ya Marekani katika eneo la kaskazini mashariki mwa Jordan na kuuliwa wanajeshi watatu vamizi wa Marekani na kujeruhiwa makumbi ya wengine, baadhi ya viongozi wa Washington akiwemo Joe Biden wamekuwa wakidai kuwa eti shambulizi hilo limefanywa na makundi yanayoungwa mkono na Iran katika nchi za Syria na Iraq.
-
Kujiondoa Mali, Niger na Burkina Faso kwenye Jumuia ya ECOWAS
Jan 30, 2024 03:52Nchi tatu za Niger, Burkina Faso na Mali zimetangaza kujiondoa kwenye Jumuia ya Kiuchumi ya Magharibi mwa Afrika ECOWAS kutokana na kutokuwa na imani na siasa na sera za jumuia hiyo.