-
Mauaji ya kimbari ya Wahazara wa Herat Afghanistan na kimya kisichoeleweka cha Taliban
Dec 05, 2023 23:16Malalamiko na mandamano ya wananchi wa jimbo la Herat yanaendelea kutokana na kuendelea kushuhudiwa ukosefu wa usalama na mauaji ya wanazuoni wa kidini hususan katika maeneo ambayo wakazi wake ni Waislamu wa madhehhebu ya Shia katika jimbo hili.
-
Iran na Cuba mbioni kuimarisha uhusiano wa kimkakati
Dec 05, 2023 05:54Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Cuba wametiliana saini hati 7 za ushirikiano zinazolenga kuimarisha uhusiano wa kimkakati baina ya pande mbili.
-
Kuendelea maandamano katika nchi za Kiislamu dhidi ya jinai za Israel huko Gaza
Dec 05, 2023 01:27Malalamiko na maandamano ya serikali na mataifa ya Kiislamu duniani bado yanaendelea kwa ajili ya kulaani kuendelea jinai za utawala wa kibaguzi wa Israel dhidi ya raia wanaodhulumu wa Ukanda wa Gaza.
-
Marekani yakiri kushindwa suluhisho la kijeshi kwa mgogoro wa Ukraine
Dec 04, 2023 23:08Jenerali Charles Brown Jr, Mkuu wa Kamandi ya Pamoja ya Jeshi la Marekani, huku akibainisha kwamba vita daima humalizika kwa makubaliano ya kidiplomasia, amesisitiza kuwa mzozo wa Ukraine hauwezi kutatuliwa kwa njia za kijeshi.
-
Safari ya Mkuu wa Majeshi ya Iran nchini Iraq kwa lengo la kuimarisha ushirikiano wa kijeshi
Dec 04, 2023 07:03Meja Jenerali Mohammad Bagheri, Mkuu wa Majeshi ya Iran, amefanya safiri ya siku tatu nchini Iraq.
-
Piga nikupige baada ya usitisjai vita wa muda katika Ukanda wa Ghaza
Dec 04, 2023 03:57Hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kushambulia kinyama kambi ya wakimbizi ya Jabalia katika Ukanda wa Ghaza kwa kutumia mabomu ya fosforasi na sambamba na kutumwa mabomu mapya kutoka Marekani kwa utawala huo ghasibu ni miongoni mwa matukio ya hivi karibuni kuhusiana na Palestina.
-
Safari ya Rais wa Cuba mjini Tehran
Dec 03, 2023 23:29Rais wa Jamhuri ya Cuba ambaye anangoza ujumbe wa ngazi ya juu wa kisiasa na kiuchumi wa nchi yake amefanya safari mjini Tehran kwa mwaliko rasmi wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Walenga shaba wa Muqawama wanawasubiri wanajeshi wa Israeli
Dec 03, 2023 07:42Utawala wa Kizayuni ulianzisha tena mashambulizi yake katika maeneo mengi ya Ukanda wa Ghaza mara tu baada ya kumalizika usitishaji vita siku ya Alkhamisi, ambapo vikosi vya nchi kavu vya jeshi la Israel vinajiandaa kuingia katika maeneo mengine ya kaskazini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Waandishi wa habari; wahanga wa usimuliaji ukweli kuhusu jinai za Wazayuni
Dec 03, 2023 03:16Katika vita vilivyoanzishwa na Wazayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza, hadi sasa waandishi wa habari 73 wameshauawa shahidi kutokana na mashambulio ya kinyama yaliyofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni.
-
Kuendelea mashambulizi ya kigaidi huko Herat Afghanistan na maswali yasiyo na majibu
Dec 02, 2023 23:05Katika hali ambayo hazijapita siku nyingi tangu viongozi wa kieneo wa kundi la Taliban huko Herat na pia wakazi wa mji mkuu Kabul watoe ahadi ya kuwadhaminia wananchi usalama wao khususan Waislamu wa Kishia na maulamaa wao, mji wa Herat kwa mara nyingine tena umeshuhudia mashambulizi ya kigaidi dhidi ya Waislamu wa Kishia yaliyosababisha kuuliwa Maulamaa wao wawili.