-
Zelensky akosoa upuuzaji wa nchi za Magharibi kwa Ukraine
Dec 02, 2023 06:54Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine amezikosoa nchi za Magharibi chini ya uongozi wa Marekani kwa kuisahau Ukraine na kuipunguzia misaada nchi hiyo katika vita na Russia.
-
Kuanza tena mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza
Dec 02, 2023 03:45Katika hatua iliyokuwa ikitazamiwa, utawala wa Kizayuni wa Israel meanza tena mashambulizi dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza baada ya kumalizika siku saba za usitishaji vita.
-
Nukta nne za kistratijia katika matamshi ya Kiongozi Muadhamu kuhusu Asia Magharibi na kadhia ya Palestina.
Dec 02, 2023 00:50Akizungumza siku ya Jumatano tarehe 29 Novemba katika kikao na askari wa kujitolea mashuhuri kama Basij kutoka pembe zote za nchi, Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amegusia nukta kadhaa muhimu kuhusu operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa na stratijia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na kadhia ya Palestina.
-
Onyo la Moscow kuhusu kuendelea vita vya Ukraine mwaka 2024
Dec 01, 2023 04:29Licha ya kupita karibu miezi 22 tangu kuanza vita vya umwagaji damu nchini Ukraine, lakini hakuna matumaini yoyote yanayoashiria kumalizika mzozo huo hivi karibuni. Hii ni katika hali ambayo nchi za Magharibi kwa sasa zimeshughulishwa na vita vya Gaza na hivyo kutozingatia sana vita vya Ukraine, jambo ambalo limeipelekea serikali yenye mielekeo ya Kimagharibi ya Kyiv kukata tamaa kuhusu kupata misaada zaidi ya nchi hizo.
-
Taathira tofauti za kusitisha mapigano na kubadilishana mateka kwa pande mbili za Israel na Palestina
Nov 30, 2023 22:57Usitishwaji vita kati ya harakati ya Hamas na utawala wa Kizayuni umerefushwa tena kwa siku moja.
-
Wito wa Umoja wa Mataifa kuhusu usitishaji vita wa kudumu huko Gaza na onyo la kuenea mapigano
Nov 30, 2023 06:13Siku ya Jumanne, ikiwa ni siku ya tano ya usitishaji vita wa muda huko Gaza, Umoja wa Mataifa ulifanya vikao viwili, kimoja katika Baraza Kuu kuhadili vita kati ya Israel na Hamas na kingine katika Baraza la Usalama kuhusu hali ya Mashariki ya Kati na Syria, ambapo vikao vyote viwili vilizungumzia kuenea mapigano katika eneo na kusisitiza juu ya udhrura wa kutekelezwa usitishaji vita wa kudumu.
-
Kuharibika mfumo wa huduma za afya Ukanda wa Gaza na tishio kwa makumi ya maelfu ya watu
Nov 30, 2023 01:24Hata kama vita vimesitishwa kwa muda huko Gaza kwa kufikiwa mapatano kati ya utawala wa Kizayuni na harakati ya Hamas, lakini wasiwasi umeongezeka kuhusu hali ya huduma za afya na usafi katika ukanda huo.
-
Kuendelea siasa za chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya; kupigwa marufuku hijabu kazini
Nov 29, 2023 23:00Ikiwa ni katika muendelezo wa siasa za chuki dhidi ya Uislamu katika nchi za Magharibi, marejeo ya juu zaidi ya kushughulikia sheria za Umoja wa Ulaya imetoa uamuzi wa kupiga marufuku vazi la hijabu kwa wafanyakazi katika nchi wanachama wa umoja huo.
-
Kiongozi wa Mapinduzi asisitiza juu ya kuimarishwa utayari wa kivita wa jeshi la wanamaji.
Nov 29, 2023 08:14Akizungumza karibuni katika kikao na Kamanda Mkuu pamoja na makamanda wengine wa Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria uwezo mkubwa wa jeshi hilo hasa katika utekelezaji wa siasa za kiuchumi baharini na kusisitiza ulazima wa kuvumbuliwa uwezo mpya kwa ajili ya kuimarisha Mfumo na taifa na vilevile kuleta matumaini na uchangamfu katika jamii.
-
Kurefushwa usitishaji vita Gaza na kuibuka changamoto mpya zinazoukabili utawala wa Kizayuni
Nov 29, 2023 04:05Usitishaji vita wa siku nne kati ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS katika Ukanda wa Gaza ulioanza saa moja asubuhi ya Ijumaa kwa saa za huko umerefushwa kwa siku mbili zaidi.