-
Kushadidi kukosolewa baraza la mawaziri lenye utata la Netanyahu
Jan 12, 2023 00:32Katika kipindi cha chini ya wiki mbili tokea lianze kazi baraza la mawaziri la serikali mpya ya utawala wa Kizayuni wa Israel inayoongozwa na Benjamin Netanyahu, ukosoaji dhidi ya baraza hilo umeshadidi kwa kiasi kikubwa na hata baadhi wameonya kuhusu uwezekano wa kuzuka vita vya wenyewe kwa wenyewe katika utawala huo.
-
Muelekeo wa kiundumakuwili na wenye mgongano wa Marekani kuhusiana na JCPOA
Jan 11, 2023 05:48Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani Ned Price amesema, hatua ya upande mmoja iliyochukuliwa na serikali ya rais wa zamani wa nchi hiyo Donald Trump ya kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni kosa kubwa zaidi la kistratejia lililofanywa katika miaka ya karibuni kwa upande wa sera za nje za Washington.
-
Juhudi za kuandaa sheria na kufanyika uchaguzi nchini Libya
Jan 10, 2023 23:02Kufanyika uchaguzi nchini Libya na kuingia madarakani serikali yenye ridhaa ya wananchi na kwa mujibu wa mchakato wa demokrasia ndio takwa kuu na la kimsingi la wananchi wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; lengo la fujo lilikuwa ni kusambaratisha nguvu za nchi na si kuondoa udhaifu
Jan 10, 2023 07:38Machafuko yaliyozuka hivi karibuni nchini Iran kwa kisingizo cha kifo cha Mahsa Amini, yalitumiwa na maadui ajinabi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kama fursa ya kuingilia masuala ya ndani ya taifa hili na wakati huo huo kuchochea zaidi moto wa fujo na vurugu zilizokuwa zimeanzisha na watu wachache waliohadaiwa.
-
Matukio muhimu sana na ya kuamua hatima kuhusiana na vita vya Yemen
Jan 09, 2023 22:57Matukio mawili mapya yamejiri kuhusiana na vita vya Yemen, ambayo kila moja ni muhimu na lina taathira kubwa ya kuamua hatima ya vita hivyo.
-
Mpango wa miaka 10 wa maendeleo ya anga za mbali; kuibadilisha Iran kuwa kitovu cha anga za mbali katika eneo
Jan 09, 2023 04:51Shirika la anga za mbali la Iran limefanya kikao chake cha kwanza rasmi cha utekelezaji wa mpango wa miaka kumi ya anga za mbali na hivyo kuanza kivitendo utekelezaji wa mpango huo wa kimkakati.
-
Kuendelea kukandamizwa wanawake nchini Saudi Arabia
Jan 09, 2023 00:38Wanaharakati 35 wa kike wa Saudi Arabia wamehukumiwa kifungo cha miaka 11 jela ikiwa ni muendelezo wa ukandamizaji unaofanywa na ukoo wa Aal Saud dhidi ya wanawake.
-
Kufichuliwa jinai za Uingereza nchini Afghanistan
Jan 08, 2023 02:36Mwanamfalme Harry wa ukoo wa kisultani na kifalme wa Uingereza amekiri kuua watu 25 nchini Afghanistan wakati wa vita vya miaka mingi vya nchi hiyo.
-
Kutolewa hukumu ya kumtia nguvuni Trump; Azma ya Iran na Iraq kwa ajili ya kuadhibiwa wahusika wa mauaji ya makamanda wa muqawama
Jan 07, 2023 22:51Sayyid Razi Imadi Faiq Zaidan, Mkuu wa Baraza Kuu la Mahakama la Iraq ameeleza kuwa chombo cha mahakama cha nchi hiyo kimetoa hukumu ya kutiwa mbaroni Donald Trump rais wa zamani wa Marekani ambaye amekiri hadharani kutekeleza jinai hiyo ya mauaji dhidi ya makamanda wa ushindi.
-
'Uhuru wa kujieleza', kisingizio cha kukaririwa cha Charlie Hebdo kwa ajili ya kutusi matukufu wa kidini
Jan 07, 2023 07:22Jarida la Kifaransa la Charlie Hebdo, ambalo huko nyuma lilidhalilisha na kumvunjia heshima mara kadhaa Mtume Mtukufu wa Uislamu (saw), sasa limeimarisha chuki zake dhidi ya dini hii tukufu kwa kutukana na kuwavunjia heshima viongozi wa kidini na kisiasa wa Kiislamu.