-
Kususia Trump mkutano wa G20; sera za mashinikizo au mshikamano na Israel?
Nov 09, 2025 09:30Rais wa Marekani alitangaza kuwa, hakuna maafisa wa Marekani watakaohudhuria mkutano wa kila mwaka wa Kundi la G20 huko Johannesburg, Afrika Kusini.
-
Zawadi ya dola trilioni moja kwa Musk mkabala wa njaa inayowakabili Wamarekani milioni 42; Uadilifu au mkanganyiko?
Nov 08, 2025 23:20Huku mamilioni ya Wamarekani wakihangaika kumudu milo yao ya kila siku, wanahisa wa Kampuni ya Tesla wamepasisha kifurushi cha fidia ambacho hakijawahi kushuhudiwa cha dola trilioni moja kwa Elon Musk. Tofauti na kukinzana huku kukubwa kati ya utajiri wa mtu mmoja na umaskini uliokithiri wa mamilioni ya watu kumefichua taswira halisi ya pengo la pato nchini Marekani.
-
Ni nini takwa la Tehran baada ya Trump kukiri kuhusika Marekani katika mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran?
Nov 08, 2025 08:11Rais wa Marekani, Donald Trump, amekiri kuwa alikuwa na mchango katika mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran.
-
Je, Gaza itaweza kuepuka mzunguko wa kudumu wa mgogoro bila kufanyika ukarabati wa kimuundo?
Nov 07, 2025 09:02UNICEF kwa mara nyingine tena imetahadharisha kuhusu kuzidi kuwa mbaya mgogoro wa kibinadamu huko Gaza na kusema kuwa zaidi ya watoto milioni moja katika ukanda huo bado wanakabiliwa na ukosefu mkubwa wa maji na chakula, na kuwa wengi hulala njaa kila usiku licha ya kusitishwa mapigano.
-
Ripoti ya kushtusha ya Umoja wa Mataifa; mauaji ya kimbari ya Wapalestina Ghaza yangali yanaendelea
Nov 06, 2025 23:17Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, mauaji ya kimbari ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza yangali yanaendelea.
-
Je, dunia inapaswa kuwa na wasiwasi juu ya uamuzi wa nyuklia aliotangaza Trump? Nini mtazamo wa Iran?
Nov 06, 2025 05:20Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa mjibizo kwa matamshi ya Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu kuanza tena nchi hiyo kuzifanyia majaribio silaha zake za nyuklia.
-
Kwa nini kilio cha machungu ya Wapalestina hakisikiwi na walimwengu?
Nov 06, 2025 00:34Hakuna usiku mtulivu huko Gaza, si kabla ya kusitishwa kwa mapigano au baada ya tangazo la amani na usiitishaji vita la Sharm el-Sheikh nchini Misri.
-
Wasichotaka mkijue; Sudan, nchi ya dhahabu iliyonaswa na wafanyanjama wa kimataifa
Nov 05, 2025 02:34Sudan, ambayo kwa sasa imetumbukia katika kinamasi cha vita vya wenyewe kwa wenyewe, ni nchi yenye nguvu na uwezo mwingi.
-
Mapitio ya jinai za Magharibi; jinai za Marekani nchini Somalia
Nov 04, 2025 23:06Marekani imefanya mashambulizi ya anga na operesheni za kijeshi nchini Somalia, na kusababisha vifo vingi vya raia, na akthari ya hatua hizo zimekuwa zikikosolewa na makundi ya kutetea haki za binadamu. Idadi halisi ya vifo inaweza kuwa kubwa zaidi kuliko ile iliyotangazwa na Pentagon.
-
Tarehe 13 Aban; dhihiriisho la mshikamano wa kitaifa kwa ajili ya kukabiliana na sera za uingiliaji kati za Marekani nchini Iran
Nov 04, 2025 07:02Tarehe 13 Aban (4 Novemba) inafahamika katika kalenda ya Iran kama "Siku ya Taifa ya Kupambana na Uistikbari Duniani".