-
Russia: Marekani imekiuka mkataba wa silaha za kibaolojia
Apr 04, 2022 21:51Naibu mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa, Dmitry Polyansky, ameuambia mkutano wa waandishi wa habari mjini New York kwamba shughuli za kijeshi za kibaolojia za Marekani nchini Ukraine zinakiuka Mkataba wa Silaha za Kibaolojia.
-
Mpira wa mazungumzo ya Vienna kwenye uwanja wa Marekani
Apr 04, 2022 06:31Katika mazungumzo yake ya simu na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu kuondolewa vikwazo huko Vienna, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: "Jamhuri ya Kiislamu imewasilisha mapendekezo yake kwa Marekani kuhusu masuala yaliyosalia kupitia mpatanishi mkuu wa Umoja wa Ulaya."
-
Usitishaji vita wa miezi miwili; juhudi za kuikoa Saudia au utangulizi wa kukomeshwa kabisa vita vya Yemen?
Apr 03, 2022 22:14Hans Grundberg, mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen amesema kuwa, pande zinazopigana nchini humo zimekubaliana na mpango wa umoja huo wa kusimamisha vita kwa muda wa miezi miwili. Mpango huo ambao unaweza kuongezewa muda, umeanza kutekelezwa Jumamosi Aprili 2, 2022.
-
Safari ya Lavrov nchini India na sisitizo la kutumiwa sarafu ya Ruble katika biashara
Apr 03, 2022 02:33Sergey Viktorovich Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amefanya ziara ya siku mbili ya kuitembelea kikazi India na kuonana na waziri mwenzake wa nchi hiyo Subrah Jaishankar na waziri mkuu wa India Narendra Modi.
-
WFP yatahadharisha kuhusu uhaba wa chakula duniani
Apr 02, 2022 23:02Wakati vita vya Russia na Ukraine vikiendelea, upatikanaji wa chakula umekuwa mgumu zaidi kwa watu wengi duniani, huku msemaji wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) akisema vita vya Russia na Ukraine vimezidisha dola milioni 71 kwa mwezi kwenye gharama zinazotumiwa na shirika hilo la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kununua chakula.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na China Wasisitiza Udharura wa Kukabiliana na Vikwazo Haramu
Apr 02, 2022 03:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amir-Abdollahian na mwenzake wa China, Wang Yi wamejadili masuala ya pande mbili, kieneo na kimataifa pembezoni mwa mkutano wa tatu wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi jirani na Afghanistan.
-
Sisitizo la China la kuzidishwa ushirikiano kati yake na Russia
Apr 01, 2022 22:00Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema ushirikiano wa nchi yake na Russia hauna mpaka. Wang Wenbin amesisitiza kuwa ipo haja ya kuendelezwa ushirikiano kati ya China na Russia katika sekta mbalimbali ikiwemo masuala ya usalama.
-
Kuvunjwa Bunge la Tunisia
Apr 01, 2022 03:12Rais Kais Saied wa Tunisia amelivunja Bunge la nchi hiyo kufuatia kushtadi mivutano ya kisiasa nchini humo.
-
Kikao cha Tatu cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi jirani na Afghanistan
Mar 31, 2022 22:11Mji wa Tunxi wa jimbo la Anhui la katikati mwa China Jumatano ya juzi na Alkhamisi ya jana ulikuwa mwenyeji wa Kikao cha Tatu cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Majirani ya Afghanistan. Kikao cha kwanza na cha pili cha mawaziri wa mambo ya nje wa nchi zinazopakana na Afghanistan vilifanyika mwaka jana katika nchi za Pakistan na Iran kwa utaratibu.
-
Kikao cha Riyadh kuhusu Yemen; tamthilia ya kisiasa kwa msaada wa Marekani na Umoja wa Mataifa
Mar 31, 2022 05:17Kikao cha Riyadh kuhusu Yemen kimeanza bila ya kushiriki serikali ya Abdu Rabbuh Mansour Hadi, rais wa zamani wa Yemen aliyejiuzulu mwenyewe na kukimbilia Saudia, na bila ya kushiriki pia Serikali ya Wokovu wa Kitaifa yenye makao yake Sana'a.