-
Umuhimu wa vikao na mashauriano aliyofanya Rais wa Iran katika mkutano wa ECO
Jul 06, 2025 13:06Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambaye alikuweko nchini Jamhuri ya Azerbaijan alikohudhuria mkutano wa Jumuiya ya ushirikiano wa kiuchumi, ECO, alikutana na viongozi wa nchi zingine wanachama wa jumuiya hiyo, wakabadilishana Mawazo kuhusu matukio ya kikanda na namna ya kupanua ushirikiano kati ya pande mbili.
-
Sababu za Marekani na Israel kuwapiga risasi Wapalestina kwenye safu za misaada huko Gaza
Jul 06, 2025 02:25Wakandarasi wa usalama wa Marekani wanatumia risasi za moto, maguruneti, na gesi ya kuwasha dhidi ya raia katika vituo vya usambazaji wa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza.
-
Kwa nini Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Israel?
Jul 05, 2025 15:20Francesca Albanese, Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika Ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ameitaja hali ya Gaza kuwa ni "mojawapo ya mauaji ya kikatili zaidi katika historia ya sasa" na kutoa wito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Israel na kusitishwa uhusiano wote wa kibiashara na uwekezaji na utawala huo ghasibu.
-
Jibu thabiti la Araghchi kwa msimamo wa kimihemko wa Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya
Jul 05, 2025 03:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Sayyid Abbas Araghchi ametoa jibu thabiti kwa kauli ya hivi majuzi ya Kaja Kallas, Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya, kwamba mazungumzo yoyote yale yatakayofanyika, lengo lake liwe ni "kufuta moja kwa moja mpango wa nyuklia wa Iran".
-
Sababu za Marekani kusimamisha kutuma mokombora ya ulinzi wa anga nchini Ukraine
Jul 04, 2025 12:26Katika hali ambayo Ukraine imekuwa ikishambuliwa vikali kwa ndege zisizo na rubani na makombora ya Russia katika kipindi cha miaka minne iliyopita, Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imesitisha baadhi ya shehena za kijeshi ilizoahidiwa Ukraine, ikiwa ni pamoja na makombora ya Patriot na Hellfire.
-
Kwa nini shambulio la Israel na Marekani dhidi ya Iran limetoa pigo kubwa kwa NPT?
Jul 03, 2025 07:26Tovuti ya Kiingereza ya Al Jazeera imezungumzia matokeo ya hujuma za karibuni za Marekani na Wazayuni katika ardhi ya Iran na vituo vyake vya nyuklia, na kuandika kwamba vita vya siku 12 havijafanikiwa chochote isipokuwa kuharibu uaminifu wa kiwango fulani uliokuwepo kuhusiana na Mkataba wa Kuzuia Usambazaji wa Nyuklia (NPT).
-
Jibu la Iran kwa ombi la Kundi la G7 kwa ajili ya kufanya mazungumzo
Jul 02, 2025 05:51Mawaziri wa Mambo ya Nje wa kundi la nchi saba tajiri kwa viwanda G7 wametoa wito wa "kuanzishwa tena mazungumzo ya nyuklia" na Iran na kufikiwa makubaliano "jumuishi na ya kudumu" kuhusu mpango wake wa nyuklia.
-
Russia yaonya kuhusu matokeo hatari ya jaribio lolote la kubadilisha kwa nguvu serikali duniani
Jul 02, 2025 02:10Dmitry Peskov, Msemaji wa Kremlin ya Russia alionya Jumapili Juni 29, kwamba wito na majaribio ya kubadilisha kwa nguvu serikali zinazotawala katika nchi tofauti duniani yanaweza kuutumbukiza ulimwengu katika machafuko makubwa.
-
Je, Umoja wa Mataifa na jamii ya kimataifa zina nafasi gani katika kukabiliana na uchokozi wa Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran?
Jul 01, 2025 04:55Katika barua yake kwa Katibu Mkuu na Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Seyyed Abbas Araqchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza juu ya kuwajibishwa kisheria utawala wa Kizayuni na Marekani kufuatia hatua zao za kichokozi dhidi ya Iran.
-
Rais Pezeshkian: Mienendo ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki inaibua wasiwasi
Jul 01, 2025 02:34Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Mienendo ya hivi karibuni ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) inatia wasiwasi na inasababiisha changamoto kubwa kwa imani ya umma ya taifa la Iran."