-
Je, siasa za serikali ya Modi zimewatenga Waislamu wa India?
Aug 14, 2025 04:11Waislamu wa India, ambao ni zaidi ya watu milioni 200, katika miaka ya hivi karibuni wamekuwa wakikabiliwa na changamoto zinazoongezeka katika uwanja wa haki za uraia, usalama wa kijamii na ushiriki wa kisiasa.
-
Uhamiaji wa kulazimishwa dhidi ya Wapalestina wa Gaza; kwa nini Israel inaitazama Afrika?
Aug 14, 2025 01:03Katika hali ambayo vita vya Gaza vinaendelea na hali mbaya ya kibinadamu katika ukanda huo imefikia kiasi kwamba makumi ya wakazi wa Gaza wanakufa kila siku, si tu kwa kupigwa risasi na askari wa Israel bali pia kutokana na njaa na kiu kali, Israel inafanya mazungumzo na nchi kadhaa za Kiafrika ili kuwahamishia huko kwa nguvu wakazi wa Gaza.
-
Kwa nini uwezo tofauti wa Iran unatoa fursa ya kipekee kwa maendeleo ya nchi za Kiafrika?
Aug 13, 2025 08:19Katika hali ambayo nchi nyingi za Kiafrika zinakabiliwa na changamoto za miundombinu na ukosefu wa teknolojia mpya, Iran imetoa fursa mpya za ushirikiano na ubadilishanaji wa teknolojia kwa kutegemea uwezo wake wa kiufundi, kiuhandisi na kitaalamu.
-
Je, mzozo kati ya Netanyahu na makamanda wa jeshi la Israel utakuwa na matokeo gani ya kuikalia kwa mabavu Gaza?
Aug 12, 2025 05:11Vita vya maangamizi vinavyoendelea huko Gaza vimezua hitilafu kubwa kati ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na makamanda wa jeshi la Israel kuhusu mpango wa kuliteka na kulikalia kwa mabavu eneo hilo kikamilifu.
-
Takwa jipya la Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kwa Jamii ya Kimataifa kuhusu utawala wa Kizayuni
Aug 12, 2025 02:35Francesca Albanese, Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kufukuzwa timu za michezo za utawala wa Kizayuni katika mashindano ya kimataifa.
-
Uko wapi mpaka kati ya ukosoaji dhidi ya Israel na chuki dhidi ya Wayahudi? Trump na mradi wa kudhibiti vyuo vikuu
Aug 10, 2025 23:10Kufuatia kushamiri maandamano ya wanafunzi katika vyuo vikuu vya Marekani mwaka 2024, ambayo yalifanyika hasa kwa ajili ya kuunga mkono na kuwatetea watu wa Ukanda wa Gaza na kupinga misaada ya Washington kwa ukatili wa Israel, serikali ya sasa ya Marekani kwa mara nyingine tena imechukua hatua yenye utata dhidi ya vyuo vikuu vya nchi hiyo.
-
Mpango wa kuipokonya silaha Hizbullah, kosa la kimkakati kwa serikali ya Lebanon
Aug 10, 2025 04:47Waziri wa Habari wa Lebanon, Paul Morcos amesisitiza katika hotuba yake kwamba: "Baraza la mawaziri la serikali limeidhinisha kubakisha silaha mikononi mwa majeshi ya serikali tu na kutumwa jeshi kusini mwa nchi."
-
Kupungua sana uungaji mkono wa Wamarekani kwa Israel, sababu na matokeo
Aug 09, 2025 23:00Himaya na msaada wa Marekani kwa Israel, kama mmoja wa washirika wake wa karibu, umekuwa mhimili mkuu wa sera za nje za Marekani kwa miongo kadhaa kutokana na masuala ya kisiasa, kihistoria na kimkakati.
-
Nchi zinazoibukia kiuchumi zimejibu vipi vita vya ushuru vya Trump?
Aug 09, 2025 07:59Mataifa matatu yanayoinukia kiuchumi, Brazil, India na Uchina, yamejibu vikali hatua ya Rais wa Marekani, Donald Trump, ya kupandisha ushuru wa forodha kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa.
-
Kwa nini India inashirikiana na utawala wa kizayuni wa Israel?
Aug 08, 2025 22:59Katika miaka ya hivi karibuni India na utawala wa Kizayuni zimeanzisha uhusiano mkubwa katika sekta nyingi za kiuchumi, kijeshi na kisiasa.