-
Kushindwa kuunda baraza jipya la mawaziri; mwisho wa Netanyahu au kuendelea mkwamo wa kisiasa Israel
May 05, 2021 21:58Benjamin Netanhayu ameshindwa kuunda baraza jipya la mawaziri la utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya kumalizika muhula wa siku 28 alizopewa.
-
Takwa na sisitizo la kuondoka vikosi vya kigeni nchini Libya
May 04, 2021 21:41Baada ya kupita miezi kadhaa tangu kuanza mwenendo wa amani nchini Libya na kuweko juhudi kubwa za kuitisha uchaguzi wa nchi hiyo baadaye mwaka huu, uwepo wa vikosi vya kigeni na vituo vyao vya kijeshi kumeendelea kuwa kikwazo katika njia hiyo.
-
Juhudi za Uturuki za kujenga kambi za kijeshi kaskazini mwa Iraq
May 02, 2021 22:05Serikali ya Uturuki imezidisha njama na chokochoko za kufanikisha malengo yake ya nje ya mipaka ya Uturuki ambapo sasa imeanza kuzungumzia nia yake ya kuanzisha kambi za kijeshi kaskazini mwa Iraq.
-
Kuongezeka mivutano baina ya Russia na Umoja wa Ulaya
May 02, 2021 04:49Mivutano baina ya Russia na Umoja wa Ulaya imeongezeka sana hivi sasa. Kuwekeana vikwazo viongozi wa kisiasa wa pande mbili ni silaha kuu inayotumiwa na pande hizo kuonesha ukubwa wa mivutano hiyo.
-
Tathmini ya siku 100 za serikali ya Biden kuwa ofisini
May 01, 2021 21:52Baada ya kupita siku 100 tokea Rais Joe Biden wa chama cha Democrat achukue madaraka ya Marekani, watu wamekuwa wakitathmini utendaji wa serikali yake katika kipindi hiki, kipindi ambacho baadhi ya wataalamu wanasema kwamba licha ya kufanikiwa katika baadhi ya sehemu lakini ameshindwa pakubwa kutekeleza ahadi alizotoa katika kampeni za uchaguzi.
-
Sababu na radiamali za kuakhirishwa uchaguzi wa Palestina
May 01, 2021 05:50Hatua ya Rais Muhmous Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ya kuakhirisha uchaguzi wa nchi hiyo imekabiliwa na radiamali tofauti za makundi ya kisiasa ya Palestina.
-
Safari ya Zarif katika nchi za eneo; ujumbe wa kudhamini usalama wa eneo kupitia mpango wa "Amani ya Hormuz"
Apr 30, 2021 22:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif amefanya safari katika nchi za eneo hili la Ghuba ya Uajemi, ambapo kwa kuanzia alielekea Qatar na kisha akazitembelea Iraq, Oman na Kuwait; ajenda kuu ya mazungumzo yake na viongozi wa nchi hizo ikiwa ni kubadilishana mawazo kuhusu namna ya kustawisha uhusiano wa pande mbili, pamoja na kujenga ushirikiano wa pamoja wa kudhamini amani na usalama wa eneo hili.
-
Safari ya pili ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudia nchini Qatar katika kipindi cha chini ya miezi miwili
Apr 29, 2021 05:00Faisal bin Farhan bin Abdallah Al Saud, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia alasiri ya Aprili 26 aliwasili Doha mji mkuu wa Qatar ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi hiyo.
-
Mauaji ya polisi wa Marekani dhidi ya raia weusi yatambuliwa kuwa ni jinai dhidi ya binadamu
Apr 28, 2021 21:51Uchunguzi uliofanywa na wataalamu mashuhuri wa haki za binadamu kote dunia kuhusiana na ukatili wa polisi wa Marekani umebaini kuwa, mauaji yanayofanywa kwa mpangilio maalumu na ya kimfumo, na vitendo vya polisi vya kuwapiga na kuwanyanyasa Wamarekani weusi ni sawa na jinai dhidi ya binadamu ambavyo vinapaswa kuchunguzwa kwa kina na kufuatiliwa kwa mujibu wa sheria za kimataifa.
-
Mazungumzo ya Vienna, maendeleo na changamoto zake
Apr 28, 2021 05:35Katika fremu ya utekelezaji wa hatua za kistratijia kwa ajili ya kufuta vikwazo vya kidhalimu na kulinda maslahi ya taifa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilichukua hatua za kulipiza kisasi ikijibu hatua ya Marekani na kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na vilevile hatua ya nchi za Ulaya ya kutotekeleza majukumu yao kwa mujibu wa makubaliano hayo.