-
SAUTI, Wakazi wa Beni Kongo DR waandamana kuwataka askari wa Monusco kufanya kazi iliyowapeleka
Nov 23, 2019 12:52Wakazi wa Beni Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamefanya maandamano makubwa wakilishinikiza jeshi la kusimamia amani la Umoja wa Mataifa MONUSCO kutekeleza wajibu wake wa kuwalinda raia wa nchi hiyo.
-
SAUTI, Mufti wa Uganda: Viongozi hasimu Sudan Kusini wajue kuwa watakufa na kuiacha nchi hiyo kwa wengine
Nov 22, 2019 12:43Mufti wa Uganda Sheikh Shaban Mubaje amewataka viongozi wa Sudan Kusini kukaa pamoja kwenye meza ya mazungumzo na kutatua hitilafu zao kwa maslahi ya nchi hiyo change zaidi barani Afrika.
-
SAUTI, Afrika ya Kati yazingirwa na mafuriko, huku mji wa Bafoussam, Cameroon ukifunikwa na udongo
Nov 22, 2019 12:42Makumi ya watu wanaripotiwa kupoteza maisha nchini Cameroon na maeneo mengine ya nchi za Afrika ya Kati kutokana mafuriko na maporomoko ya udongo vinavyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo hayo.
-
SAUTI, Wafanyabiashara wa Uganda: Rwanda bado haijatufungulia kikamilifu mpaka wake
Nov 19, 2019 12:33Wafanyabiashara wa Uganda wameendelea kulalamikia hatua ya serikali ya Rwanda ya kutofungua kikamilifu mipaka yake.
-
SAUTI, Wakimbizi wa Kongo DR wanaoishi Uganda, waahidi kurejea makwao iwapo usalama utarejea mashariki mwa Kongo
Nov 11, 2019 13:04Wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wameahidi kurejea makwao iwapo maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo yatarejea katika hali ya utulivu.
-
SAUTI, Rais Mohamed Shein: Kukosekana sheria kali, kunawafanya wahalifu wa mitandao, kuwanajisi watoto
Nov 05, 2019 12:52Kukosekana kwa sheria kali inayodhibiti matumizi ya mitandao ya kijamii, kumepelekea ongezeko la jinai nyingi zinazowakabili watu wengi.
-
Matukio ya Kiislamu: Kitabu kipya cha Maulidi kuzinduliwa Zanzibar, kitagaiwa bure + Sauti
Nov 01, 2019 13:01Kitabu kipya kinachozungumzia mazazi ya Bwana Mtume Muhammad SAW kuzinduliwa visiwani Zanzibar sambamba na kuingia mwezi wa Mfunguo Sita ambapo hushamiri sana sherehe za Maulidi ya mtukufu huyo wa daraja. Hayo na mengineyo yamo kwenye ripoti ya kila wiki ya matukio ya Kiislamu iliyoandaliwa na mwandishi wetu wa Zanzibar, Harith Subeit…
-
Bunge la Uganda lataka kuondolewa nyongeza ya karo Chuo Kikuu Makerere + Sauti
Nov 01, 2019 12:58Bunge la Uganda limependekeza kuondolewa nyongeza ya karo baada ya kuongezeka maandamano na upinzani mkubwa wa wanachuo wa Chuo Kikuu cha Makerere. Maelezo zaidi na mwandishi wetu wa Kampala, Kigozi Ismail.
-
Mvua kubwa zazidi kusababisha maafa katika nchi mbalimbali za Afrika + Sauti
Oct 30, 2019 13:11Mvua kubwa zinazonyesha katika nchi za Afrika ya Kati hususan Cameroon na Jamhuri ya Afrika ya Kati zimesababisha maafa makubwa ya watu wengi kupoteza maisha yao na pia makazi. Kwa maelezo zaidi, tumtegee sikio mwandishi wetu wa Afrika ya Kati. Mosi Mwasi, akiripoti kutoka Brazzaville
-
SAUTI, Hivi karibuni Rwanda itaanza kuzalisha magari ya kisasa yanayotumia umeme
Oct 30, 2019 01:16Katika juhudi za maendeleo nchi ya Rwanda itaanza kuunganisha magari yanayotumia umeme.