-
SAUTI, Wakongomani waendelea kushangazwa na ushindi wa Felix Tshisekedi licha ya kwamba ni mpinzani
Jan 12, 2019 13:52Hali ya suitafahamu imeendelea kutawala nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kufuatia kutangazwa Felix Tshisekedi kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais uliopita.
-
Wazanzibar waadhimisha miaka 55 ya Mapinduzi, Rais Shein aelezea mafanikio katika maeneo tofauti + Sauti
Jan 12, 2019 12:44Jumamosi ya leo Wazanzibar wamesherehekea kumbukumbu ya mapinduzi yaliyofanyika hapo mwaka 1964.
-
SAUTI, Matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa Kongo DR yaibua hali mseto kati ya Wakongomani, Fayulu kwenda mahakamani
Jan 10, 2019 13:47Kumekuwa na hali mseto baada ya Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kumtangaza Felix Tshisekedi wa upinzani kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais uliopita.
-
Majibu makali ya Wayemen; mamluki 150 wa Kisaudi wauawa na kujeruhiwa + Video
Jan 10, 2019 12:29Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya Yemen amesema kuwa, droni ya jeshi la nchi hiyo na vikosi vya kujitolea vya wananchi, imefanya shambulizi la kishujaa baada ya kufanyika operesheni kali ya kukusanya taarifa za kijasusi, na kufanikia kuua na kujeruhi mamluki 150 wa Kisaudi leo asubuhi.
-
Kushindwa viongozi wa Marekani mbele ya adhama ya taifa la Iran kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu
Jan 10, 2019 10:33Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, utambulisho na hakika ya Mapinduzi ya Kiislamu, ushujaa, kujitolea mhanga na uaminifu wa wananchi, pamoja na Mfumo kushikamana kikamilifu na kwa kudumu na misingi ya Mapinduzi ya Kiislamu" ndio sababu kuu ya adawa na chuki kubwa na ya kuendelea ya Marekani dhidi ya taifa la Iran.
-
SAUTI, Serikali ya Ufaransa yanyoshewa kidole cha lawama kwa kuchochea uvamizi na mauaji katika mji wa Bakuma, CAR
Jan 08, 2019 13:37Waasi wa MDRC, sehemu ya kundi la Seleka nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, wameendelea kupanua satwa yao kuelekea miji mingine, baada ya kuuvamia na kuudhibiti mji wa Bakuma wenye utajiri wa madini ya Urani na Alimasi mwanzoni mwa mwezi huu.
-
Mufti wa Tanzania ataka mahujaji wa nchi hiyo watumie Air Tanzania + Sauti
Jan 05, 2019 02:50Viongozi wanaosimamia misafara ya Hija nchini Tanzania wametakiwa kutumia ndege za Shirika la Ndege la Air Tanzania katika msimu wa Hija kama njia ya kuunga mkono jitihada za rais wa nchi hiyo za kuliletea maendeleo Taifa. Ammari Dachi na ripoti kamili kutoka Dar es Salaam.
-
Matukio ya Kiislamu Afrika Mashariki wiki hii na Harith Subeit + Sauti
Jan 05, 2019 02:47Wiki hii kama ilivyojiri kwa wiki zilizopita, kumekuwa na matukio mengi yanayohusiana na Waislamu wa Afrika Mashariki. Harith Subeit amekusanya baadhi ya matukio hayo na kutuandalia ripoti ifuatayo...
-
Viongozi wa kidini wataka kuheshimiwa matokeo ya kura DRC + Sauti
Jan 05, 2019 02:44Viongozi wa kidini wakiwemo wa Kanisa Katoliki huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya nchi hiyo kuheshimu matokeo ya kura na kumtangaza mshindi haraka iwezekanavyo. Mossi Mwasi na maelezo zaidi...
-
Zoezi la kuhesabu kura laendelea DRC, wapinzani walalamika + Sauti
Jan 03, 2019 04:27Huku zoezi la kuhesabu kura likiendelea katika maeneo mbalimbali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, vyama vya upinzani vimekosoa mchakato huo baada ya kuripotiwa habari za kutupwa karatasi za kupigia kura za mgombea wa upinzani katika baadhi ya maeneo. Mossi Mwasi na maelezo zaidi...