-
Iran yakanusha uvumi wa kufunga ubalozi wake mjini Damascus Syria
Dec 07, 2024 08:09Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amepuuzilia mbali uvumi unaodai kuwa Tehran imefungwa Ubalozi wake nchini Syria kufuatia kuibuka tena makundi ya wanamgambo wenye silaha nchini humo.
-
Iran: Tishio la vikundi vyenye silaha 'sio tu' kwa Syria, bali pia majirani wako hatarini
Dec 07, 2024 03:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema tishio la makundi yenye silaha nchini Syria halitaishia tu nchini humo bali litaenea hadi Iraq, Jordan na Uturuki.
-
Kurushwa chombo cha anga za mbali cha "Saman 1" ni mafanikio muhimu kwa wanasayansi wa Iran
Dec 07, 2024 03:28Mkuu wa Shirika la Anga za Mbali la Iran amesema kurushwa kwa mafanikio katika anga za mbali chombo cha "Saman 1" kunaleta matumaini ya mustakabali mwema wa kombora au roketi la kimkakati la Simorgh ambalo hutumika kubeba satalaiti.
-
Sisitizo la Putin la kustawishwa ushirikiano wa kiuchumi wa Iran na Russia
Dec 07, 2024 00:36Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza kuwa, uhusiano wa kibiashara na kiuchumi wa nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni imara, unazidi kutia matumaini na bila ya shaka yoyote mwaka huu, kiwango cha mabadilishano ya kibiashara baina ya nchi hizi mbili, kitaongezeka.
-
Iran yaitaka Ukraine iache kuwaunga mkono na kuwasaidia magaidi eneo la Asia Magharibi
Dec 06, 2024 22:56Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imeitaka Ukraine iache kuunga mkono magaidi katika eneo la Asia Magharibi.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Marekani imevunja makubaliano yake yote na Iran
Dec 06, 2024 09:30Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa Marekani imevunja makubaliano yote katika historia ya uhusiano wake na Iran na imepoteza ustahiki wa kufanya mazungumzo na Iran.
-
Mkutano wa mawaziri wa nchi zinazouza gesi duniani waanza Tehran
Dec 06, 2024 08:39Mkutano wa 26 wa nchi zinazouza gesi duniani umeanza shughuli zake hapa mjini Tehran.
-
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran aelekea Iraq
Dec 06, 2024 03:58Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo ameelekea Baghdad mji mkuu wa Iraq ikiwa ni muendelezo wa safari yake ya kieneo yenye lengo la kujadili matukio ya hivi karibuni nchini Syria na eneo la Asia Magharibi kwa ujumla.
-
Iran yaombeleza siku ya kufa shahidi binti kipenzi wa Mtume Muhammad (saw) Fatima al Zahra (as)
Dec 05, 2024 08:25Waislamu katika baadhi ya maeneo ya dunia, hususan wafuasi wa Watu wa Nyumba tukufu ya Mtume wetu Muhammad (saw) leo wanaomboleza siku ya kufa shahidi binti kipenzi wa Mtume Muhammad (saw), Bibi Fatima al Zahra (as) aliyeaga dunia katika siku kama hii ya leo, tarehe 3 Jamadithani mwaka wa 11 Hijria.
-
Iran yajibu tuhuma za Katibu Mkuu mpya wa NATO dhidi ya Tehran
Dec 05, 2024 08:23Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa matamshi yaliyotolewa na Katibu Mkuu mpya wa shirika la kijeshi la nchi za Maghjaribi, NATO, akiituhumu Iran kuhusu matukio ya Ukraine na kusema matamshi hayo si ya kuwajibika.