-
Iran na Uturuki katika mkondo wa kuongeza uhusiano wa kibiashara na kiuchumi
Jul 02, 2024 23:21Ingawa uhusiano wa kibiashara kati ya Iran na Uturuki umeanza kuimarika, lakini bado kuna njia ndefu ya kufikia kiwango kinachotarajiwa cha dola bilioni 30 kwa mwaka.
-
Kan'ani: Kukaa kimya mkabala wa jinai za Wazayuni ni mbali na ubinadamu
Jul 02, 2024 08:27Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa kunyamaza kimya jamii ya kimataifa mkabala wa jinai za Wazayuni huko Ukanda wa Gaza ni mbali na utu na ubinadamu.
-
Kamanda Hajizadeh: Muqawama wa Palestina lazima utapata ushindi Gaza
Jul 02, 2024 03:38Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema hakuna chembe ya shaka kuwa muqawama wa Palestina utapata ushindi wa 'kishindo' mkabala wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Bagheri: Waliomuunga mkono Saddam katika jinai ya Sardasht wanaunga mkono jinai za Wazayuni Ukanda wa Gaza
Jul 02, 2024 00:43Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika siku ya kumbukumbu ya mashambulizi ya silaha za kemikali katika mji wa Sardasht nchini Iran kwamba: Wale waliounga mkono jinai za utawala wa Saddam Hussein dhidi ya watu wa Sardasht nchini Iran hivi sasa wanaunga mkono jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel huko Ukanda wa Gaza.
-
Iran yasema Hizbullah iko 'tayari kikamilifu' kukabiliana na vitisho vya Israel
Jul 01, 2024 09:10Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Ali Bagheri Kani, ameuonya utawala wa Israel kuhusu "matokeo mabaya" iwapo utaishambulia Lebanon, akisema harakati ya muqawama ya Lebanon, Hizbullah iko tayari kikamilifu kupambana na Israel.
-
Wall Street Journal: Makosa ya Marekani yameifanya Iran kuwa nchi muhimu kimataifa
Jul 01, 2024 04:47Jarida la Wall Street Journal la nchini Marekani limeandika katika ripoti yake mpya kwamba: Licha ya mashinikizo ya miongo kadhaa kutoka kwa nchi za Magharibi, lakini Tehran inaendelea kuwa tishio kwa maslahi ya Marekani kutokana na uhusiano wake mzuri na Russia na China.
-
Jenerali Safavi: Israel 'inayoporomoka' imeshindwa vibaya na muqawama
Jun 30, 2024 23:30Mshauri Mkuu wa Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala kijeshi amesema mrengo wa muqawama umefanikiwa kuushinda na kuusababishia vipigo utawala wa Kizayuni ambao upo katika ncha ya kuporomoka na kusambaratika.
-
Iran ni namba moja Ulimwengu wa Kiislamu katika uzalishaji wa sayansi na teknolojia
Jun 30, 2024 22:53Kwa mujibu wa hifadhidata ya kimataifa ya "Web of Science," Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni ya sita duniani na ya kwanza kati ya nchi za Kiislamu katika uzalishaji wa sayansi na teknolojia ya mtandao wa neva.
-
Iran yailalamikia Uingereza baada ya watu wenye chuki kuwahangaisha wapiga kura wa Iran
Jun 30, 2024 08:40Iran imeilalamikia vikali Uingereza baada ya watu wenye chuki na uhasama na mfumo wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kusumbua na kuwahangaisha wapiga kura wa Iran waliofika katika vituo vya kupigia kura katika nchi hiyo ya Ulaya, kwa lengo la kuvuruga uchaguzi wa 14 wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Azma ya Iran na Libya ya kuimarisha uhusiano mzuri wa zamani
Jun 30, 2024 07:49Katika hafla ya kuwasilisha nyaraka zake za utambulisho kwa Mkuu wa Baraza la Rais la Libya, balozi mpya wa Jamjuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza utayarifu wa Iran wa kurejesha haraka uhusiano mzuri wa zamani uliokuwepo kati ya nchi mbili hizi za Kiislamu.