-
Walinzi wa Haram; waokozi wa Iran na eneo la Asia Magharibi
Jun 30, 2024 06:34Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Walinzi wa Haram ni tukio la kushangaza, muhimu na mojawapo ya madhihirisho ya mtazamo wa kiulimwengu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Wagombea 2 wa urais Iran kushiriki katika midahalo miwili
Jun 30, 2024 03:27Wagombea wawili wa kiti cha rais nchini Iran, Masoud Pezeshkian na Saeed Jalili wanatazamiwa kushiriki midahalo miwili ya urais kabla ya kufanyika duru ya pili ya uchaguzi huo.
-
Wanachama wa BRICS wasisitiza kupanua ushirikiano katika sekta ya kilimo
Jun 29, 2024 23:34Naibu Waziri wa Jihad ya Kilimo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mkutano wa 14 wa Mawaziri wa Kilimo wa nchi wanachama wa kundi la BRICS kuhusu kupanua ushirikiano kati ya nchi wananchama wa kundi hilo katika nyanja za kilimo.
-
Kazem Gharibabadi: Marekani inaangalia haki za binadamu kwa jicho la utashi wa kisiasa
Jun 29, 2024 22:45Katibu wa Baraza la Haki za Binadamu la Iran ameashiria utashi wa kisiasa wa Marekani katika suala la haki za binadamu na kusema kuwa, Washington imevaa vazi la kutetea haki za binadamu lakini kimsingi inalitumia hilo kufikia malengo yake ya kisiasa.
-
Uchaguzi wa rais wa Iran waingia duru ya pili; Pezeshkian kuchuana na Jalili
Jun 29, 2024 09:26Matokeo rasmi na ya mwisho ya duru ya 14 ya uchaguzi wa rais wa kabla ya wakati wa Iran yanaonesha kuwa zoezi hilo litaingia katika duru ya pili.
-
Iran yatoa onyo kali kuhusu vitisho vya Israel dhidi ya Lebanon
Jun 29, 2024 09:25Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran ametahadharisha dhidi ya jaribio la utawala wa Kizayuni wa Israel la kupanua wigo wa vita na jinai katika maeneo mengine kwa lengo la kufidia kushindwa kwake katika Ukanda wa Gaza.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Walinzi wa Haram wameiokoa Iran na kanda ya Magharibi mwa Asia
Jun 29, 2024 04:42Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewataja Walinzi wa Haram kuwa ni waokozi wa Iran na eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Zoezi la kuhesabu kura za uchaguzi wa rais wa Iran linaendelea, Jalili na Pezeshkiyan wanakabana koo
Jun 29, 2024 04:41Zoezi la kuhesabu kura za uchaguzi wa rais wa Iran uliofanyika jana kote nchini bado linaendelea huku matokeo ya awali yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi yakiashiria ushindani mkali kati ya wagombea wawili, Saeed Jalili na Masoud Pezeshkian.
-
Uchaguzi wa rais wa Iran waingia duru ya pili, Wairani kupata rais mpya baada ya Ijumaa ijayo
Jun 29, 2024 04:37Matokeo rasmi na ya mwisho ya duru ya 14 ya uchaguzi wa rais wa kabla ya wakati wa Iran yanaonesha kuwa zoezi hilo limeingia katika duru ya pili.
-
Kuendeleza uhusiano kati ya Iran na Russia; Mhimili wa mashauriano ya Ali Bagheri Kani na Sergey Lavrov
Jun 29, 2024 03:48Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia wamesisitiza udharura wa kupanuliwa uhusiano kati ya Tehran na Moscow.