-
Matokeo ya awali yaanza kutolewa Iran baada ya saa 16 za kupiga kura katika uchaguzi wa Rais
Jun 28, 2024 23:26Msemaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Iran ametangaza matokeo mapya ya uchaguzi wa jana wa 14 wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ambao ulifanyika kwa muda wa saa 16 baada ya kuongezewa muda mara kadhaa.
-
Msemaji wa Tume ya Uchaguzi Iran: Muda wa kupiga kura uchaguzi wa rais umerefushwa
Jun 28, 2024 11:39Msemaji wa Tume ya Uchaguzi nchini Iran amewaambia waandishi wa habari kwamba, muda wa kupiga kura katika uchaguzi wa rais ulioanza mapema leo kote nchini umerefushwa hadi saa nne usiku.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran awataka wananchi wachague mgombea bora
Jun 28, 2024 08:00Imam wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa Tehran amesema kuwa, shahid Ebrahim Raisi, Rais wa Iran aliyefariki dunia kwa ajili ya helikopta, alikuwa hajui kuchoka na ni kigezo kizuri cha kuchagua mgombea bora wa urais anayefanana naye ili ashike nafasi yake.
-
Kiongozi Muadhamu: Watu hawapaswi kuwa na shaka yoyote kuhusu kushiriki katika uchaguzi
Jun 28, 2024 03:49Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewataka wananchi wa Iran kutosita hata kidogo kushiriki katika uchaguzi wa leo wa Rais.
-
Wananchi wa Iran leo wanapiga kura kumchagua mrithi wa Rais Ebrahim Raisi
Jun 28, 2024 01:00Wananchi wa Iran waliotimiza masharti ya kupiga kura leo wanaelekea katika vituo vya kupigia kura ili kumchagua Rais mpya atakayemrithi Ebrahim Raisi aliyekufa shahidi katika ajali ya helikopta Mei 19 mwaka huu.
-
Qaani: Raisi, Abdollahian walithibitisha kuwa Iran inaweza kuikabili Marekani
Jun 27, 2024 23:52Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesifu na kupongeza sifa za kipekee walizojipambanua nazo Shahidi Rais Sayyid Ebrahim Rais na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amir-Abdollahian, kwa kuiunga mkono kambi ya muqawama na kukabiliana na ubeberu wa Marekani.
-
Iran yalaani jaribio la mapinduzi lililofeli Bolivia
Jun 27, 2024 23:49Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani jaribio la mapinduzi lililofeli nchini Bolivia.
-
Kanani: Iran ni mbeba bendera ya mapambano ya dunia dhidi ya magenge hatari ya mihadarati
Jun 27, 2024 09:12Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza juu ya irada madhubuti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kupambana na tishio la dunia la madawa ya kulevya.
-
Tehran, mwenyeji wa mkutano wa nafasi ya utambulisho wa asili na muqawama katika kuasisi mfumo mpya duniani
Jun 27, 2024 08:59Mkutano wa kimataifa uliofanyika chini ya anwani ya "Nafasi ya Utambulisho wa Asili na Muqawama Katika Kuasisi Mfumo Mpya Duniani" umefanyika leo hapa Tehran kwa kuhudhuriwa na wataalamu na wanafikra wa kimataifa.
-
Kuongezeka kasi katika ushirikiano wa kimkakati kati ya Iran na Russia
Jun 27, 2024 08:55Uhusiano na ushirikiano wa kistratijia kati ya Iran na Russia umeongezeka na kushika kasi zaidi katika siku za hivi karibuni, na sasa unaingia katika hatua mpya.