-
Kipaumbele cha sera za kigeni za Iran; nchi jirani, eneo na muqawama
Aug 25, 2024 08:45Waziri mpya wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesema kuwa kipaumbele cha kwanza katika sera za kigeni ni nchi jirani na kipaumbele cha pili ni kupanua uhusiano na Afrika, Amerika ya Latini na Asia Mashariki.
-
Kan'ani: Matembezi ya Arubaini ni nembo ya wazi ya kubakia milele haki na kutoweka batili
Aug 25, 2024 08:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, mkusanyiko mkubwa na usio na kifani katika matembezi ya Arubaini ya Imam Husain AS ni ushahidi wa wazi wa kubakia milele haki na kuangamia batili na dhulma.
-
Kiongozi Muadhamu: Vita baina ya haki na batili kamwe havitakoma
Aug 25, 2024 06:56Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kisilamu amesema mbele ya wanafunzi wa vyuo vikuu katika maombolezo ya Arubaini ya Imam Husain AS kwamba mapambano baina ya kambi ya Imam Husain na kambi ya Yazid (baina ya haki na batili) kamwe havitomalizika.
-
Waziri wa Mambo ya Nje: Tunaunga mkono Muqawama katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni
Aug 25, 2024 00:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, "sisi tunadhamini usalama na maslahi ya taifa kwa uratibu na mashauriano na vikosi vya ulinzi na tunaunga mkono kikamilifu Mhimili wa Muqawama na Palestina".
-
Rais Pezeshkian: Kama Waislamu wangekuwa na umoja, Israel isingethubutu kufanya jinai yoyote
Aug 24, 2024 09:37Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Lau Waislamu wote wangekuwa na umoja na mshikamano, basi utawala unaokalia kwa mabavu wa Israel haungethubutu kufanya jinai hizi kubwa katika ardhi za Palestina.
-
Iran yakaribisha kustawisha uhusiano na Ulaya katika anga ya kuheshimiana
Aug 24, 2024 07:51Sayyid Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje ya serikali ya 14 ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo ya simu na Josep Borrell mwakilishi wa ngazi ya juu wa Umoja wa Ulaya katika masuala ya usalama na sera za je kwamba: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inakaribisha na kuunga mkono kustaiwsha uhusiano na Umoja wa Ulaya katika mazingira ya kuheshimiana pande mbili.
-
Araghchi: Serikali mpya ya Iran ina azma ya kuimarisha uhusiano na Afrika
Aug 24, 2024 03:26Waziri mpya wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema kuwa kipaumbele cha kwanza katika sera za kigeni ni nchi jirani na kipaumbele cha pili ni kupanua uhusiano na Afrika na Asia Mashariki. Ameongeza kuwa kipaumbele cha tatu ni nchi zilizosimama upande wa Iran katika hali ngumu.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Matembezi ya mamilioni ya watu ya Arubaini ya Imamu Hussein AS hayajawahi kutokea katika historia
Aug 23, 2024 10:11Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema, matembezi adhimu ya mamilioni ya watu ya Arubaini ya Imamu Hussein AS hayajawahi kutokea katika historia.
-
Iran yawakamata magaidi 14 wa Daesh wakipanga mashambulizi ya kigaidi
Aug 23, 2024 06:51Wizara ya Usalama wa Taifa Iran imesema imewatia mbaroni magaidi 14 wa kundi la kigaidi la Daesh au ISIS, na hivyo kuzima njama zao za kutekeleza mashambulizi ya kigaidi ndani ya nchi.
-
Iran inaunda makumi ya satelaiti kwa malengo mbali mbali
Aug 23, 2024 06:49Mkuu wa Shirika la Anga za Juu la Iran (ISA) Hossein Salariyeh anasema nchi Iran imepata maendeleo ya ajabu katika sekta ya anga katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita na hivi sasa makumi ya satelaiti zinaendelea kuundwa nchini kwa malengo mbalimbali.