-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Msimamo wa Marekani ndio kikwazo kikuu kumaliza vita
May 13, 2026 02:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi, amesema kuwa msimamo wa Marekani wa kutaka masharti ya kupita kiasi pamoja na mienendo yake mingine inayodhoofisha juhudi za diplomasia ndiyo vizuizi vikuu vya kumaliza mzozo uliozuka kufuatia vita dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Spika Qalibaf: Majeshi ya Iran yako tayari kuwashitua wavamizi
May 12, 2026 09:13Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Qalibaf, amesema kuwa majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu yako katika hali ya juu kabisa ya utayari wa kivita na yako tayari kutoa jibu kali, la haki na linalostahili dhidi ya aina yoyote ya uchokozi. Amewaonya maadui kwamba mikakati na maamuzi yenye makosa hayatazaa chochote isipokuwa maafa.
-
Araghchi ajadiliana na mawaziri wa mambo ya nje wa Saudi na Misri kuhusu diplomasia
May 12, 2026 04:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amejadiliana na mawaziri wa mambo ya nje wa Saudi Arabia na Misri kuhusu maendeleo muhimu katika mchakato wa kidiplomasia kati ya Iran na Marekani unaopatanishwa na Pakistan.
-
Baqaei: Marekani inaendelea kusisitiza mawazo yaliyobuniwa na utawala wa Israel
May 12, 2026 03:43Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: Marekani inaendelea kung'ang'ania fikra na mawazo ya utawala wa Israel.
-
Iran yawasilisha majibu kwa pendekezo la Marekani la kukomesha uchokozi
May 12, 2026 03:40Iran imewasilisha mpango kamili wa kukomesha vita vya uchokozi wa Marekani na Israel, ikisisitiza kulipwa fidia kamili kwa uharibifu wa vita na kuondolewa vikwazo vyote.
-
Kamanda wa IRGC: Iran iko tayari kushambulia ngome za Marekani
May 10, 2026 09:08Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) amesema makombora ya kisasa pamoja na droni za kivita za Iran tayari zimeelekezwa dhidi ya ngome za Marekani katika eneo la Ghuba ya Uajemi, huku vikosi vya jeshi vikisubiri amri ya mwisho ya kushambulia.
-
Mchezaji wa tenisi wa Iran ajiondoa mashindano ya dunia kuepuka kushindana na Muisraeli
May 10, 2026 09:04Mchezaji chipukizi wa tenisi kutoka Iran, Hana Shabanpour, amejiondoa katika fainali ya mashindano ya J60 Turkey World Tour siku ya Jumapili baada ya kukataa kucheza dhidi ya mpinzani aliyekuwa akiwakilisha utawala wa Israel, kama ishara ya kupinga mauaji na mateso dhidi ya Wapalestina.
-
Pezeshkian: Ukoloni hauna nafasi katika dunia; Iran yataka mahusiano ya kuheshimiana
May 09, 2026 09:27Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, amesema kuwa ukoloni na unyonyaji havitakuwa na nafasi katika dunia ya kesho, akisisitiza tena dhamira ya Iran ya kuendeleza mahusiano ya kirafiki yanayojengwa juu ya kuheshimiana na maslahi ya pamoja.
-
Kurudi Nyumbani Wakati wa Vita vya Siku 40 Wairan Waliokuwa Wameihajiri Nchi Kunafikisha Ujumbe Gani?
May 09, 2026 14:04Takwimu zilizorekodiwa katika mipaka ya Iran zinaonyesha kuwa wakati wa vita vya siku 40 vilivyoanzishwa na Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Wairani 630,000 waliingia nchini kupitia mipaka ya nchi kavu.
-
CIA yakiri: Iran inaweza kuhimili mzingiro wa baharini wa Marekani
May 09, 2026 09:57Shirika la Ujasusi la Marekani limekiri kuwa Iran ina uwezo wa kuhimili athari za mzingiro wa nchi hiyo kwa miezi kadhaa, na pia ina hifadhi kubwa ya makombora na ndege zisizo na rubani.