-
Qalibaf: Hali katika Mlango Bahari wa Hormuz imekuwa “isiyovumilika” kwa Marekani
May 06, 2026 07:57Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, ameonya kwamba hali inayoendelea katika Mlango Bahari wa Hormuz imekuwa “isiyovumilika” kwa Marekani, huku akisisitiza kuwa Tehran “bado haijaanza hata hatua zake halisi.”
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Matukio ya Hormuz yadhihirisha kuwa suluhisho la kijeshi halipo
May 05, 2026 05:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Seyed Abbas Araghchi, amesema kuwa matukio ya karibuni katika Mlango wa Bahari wa Hormuz yameweka wazi tena kwamba hakuna suluhisho la kijeshi kwa mgogoro wa kisiasa unaoikumba kanda ya Asia Magharibi, akisisitiza upya sera ya Jamhuri ya Kiislamu ya kufuatilia diplomasia kutoka katika nafasi ya nguvu.
-
Iran yasema “tamaa isiyo na mwisho ya Marekani haina mipaka”
May 05, 2026 05:30Iran imesema kuwa Marekani haijaacha mwenendo wake wa madai kupita kiasi na tamaa isiyo na kikomo, ikithibitisha kuwa imepokea jibu la watawala wa Washington kuhusu pendekezo la Iran la mpango wa pointi 14 unaohusu mazungumzo ya pande zote, yenye lengo la kusitisha vita dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Meli ya kijeshi ya Marekani yapigwa kwa makombora mawili baada ya kupuuza onyo la Iran
May 04, 2026 11:47Shirika la Habari la Fars limetangaza kuwa, meli ya Jeshi la Wanamaji la Marekani imepigwa kwa makombora mawili baada ya kupuuza onyo la Jeshi la Majini la Iran.
-
Iran yawanyonga magaidi watatu wa Mossad waliopatikana na hatia ya kuwauwa askari usalama katika ghasia za Mashhad
May 04, 2026 10:29Watu watatu waliopatikana na hatia ya kuhusika katika ghasia na machafuko makubwa, mashambulizi dhidi ya askari usalama, na kuwa na uhusiano na Shirika la Ujasusi la Israel (Mossad) wamenyongwa katika mkoa wa Khorasan Razavi, kaskazini mashariki mwa Iran.
-
Mkuu wa Shirikisho la Soka Iran akataa simu ya Waziri Mkuu wa Canada baada ya kutendewa vibaya
May 04, 2026 10:19Mkuu wa Shirikisho la Soka la Iran, Mehdi Taj, amekataa ombi la maafisa wa Canada la kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Mark Carney baada ya wajumbe wa Iran kuvunjiwa heshima na maafisa wa mpaka wa Canada.
-
Jeshi la Iran laapa kulenga vikosi vya kigeni vitakavyokaribia Mlango wa Bahari wa Hormuz
May 04, 2026 09:38Kamanda wa kitengo cha juu zaidi cha uendeshaji wa operesheni za kijeshi cha Iran ameonya kuwa majeshi ya Iran yatalenga vikosi vyovyote vya kigeni, hasa vile vya Jeshi la Marekani, vitakavyojaribu kukaribia au kuingia katika Mlango wa Bahari wa Hormuz, njia nyeti ya kimkakati ya baharini.
-
Askari wa Marekani watoweka wakati wa mazoezi ya kijeshi Morocco
May 04, 2026 09:30Askari wawili wa Jeshi la Marekani waliokuwa wakishiriki katika mazoezi ya kijeshi karibu na mji mmoja kusini-magharibi mwa Morocco wameripotiwa kutoweka, na hadi sasa hawajulikani waliko.
-
Iran yalaani vikali shambulio la kigaidi dhidi ya khatibu wa Haram ya Bibi Zainab (AS)
May 03, 2026 10:42Iran imelaani vikali shambulio la kigaidi lililotokea katika eneo la Sayyida Zainab mjini Damascus, ambalo limepelekea kuuawa shahidi Sayyid Farhan Hassan Al‑Mansour, mmoja wa wanazuoni wa Kiislamu na khatibu wa Ijumaa katika Haram ya Bibi Zainab (AS).
-
Iran: Majigambo ya Trump kuhusu uharamia ni ‘kukiri wazi’ jinai
May 03, 2026 10:26Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imejibu kauli za Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye amejigamba kuwa Jeshi la Wanamaji la Marekani limetekeleza operesheni “kama maharamia” katika mzingiro wa baharini usio halali dhidi ya meli na bandari za Iran.