-
Muungano wa upinzani DRC wasisitiza msimamo wa mazungumzo jumuuishi ya kitaifa
Aug 14, 2026 03:02Muungano wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) unaojulikana kama C64 (Coalition Article 64), umesisitiza msimamo wake wa kumtaka Rais Félix Tshisekedi kuitisha mazungumzo ya kitaifa yanayowahusisha watu wote kabla ya tarehe 15 Agosti 2026, au wachukue hatua za kisiasa.
-
‘Unafiki’: Iran yashutumu Ufaransa kwa kuhubiri haki huku ikiunga mkono uhalifu wa Marekani na Israel
Aug 13, 2026 10:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi, amelaani vikali Ufaransa na mataifa mengine kwa kujifanya mawakili wa haki za binadamu na sheria za kimataifa, wakati wakihalalisha na kuunga mkono uhalifu wa kivita unaofanywa na Israel na Marekani.
-
Iran yasisitiza Lango la Hormuz halifunguliwi mpaka masharti yake yatimizwe
Aug 13, 2026 10:39Mamlaka ya Iran inayosimamia Lango Bahari la Hormuz katika Ghuba ya Uajemi imekanusha vikali madai ya maafisa wa Marekani kuhusu kufunguliwa tena kwa njia hiyo ya kimkakati ya baharini.
-
ILO: Mafunzo ya ufundi yatumike kukabiliana na ongezeko la ukosefu wa ajira kwa vijana
Aug 13, 2026 10:34Ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana duniani umeongezeka, huku ukuaji dhaifu wa uchumi na upungufu wa nafasi mpya za kazi ukiwaweka vijana katika mazingira magumu ya kuingia katika soko la ajira.
-
Ripoti: Maafisa wa Uturuki waamini Israel ilitunga ‘njama ya Iran’ ya kumuua Trump
Aug 13, 2026 10:33Ripoti mpya inaonyesha kwamba madai ya njama ya Iran ya kumuua Rais wa Marekani Donald Trump wakati wa mkutano wa hivi karibuni wa NATO nchini Uturuki yalikuwa ni upotoshaji uliopikwa na shirika la kijasusi la Israel, Mossad, kwa lengo la kuvuruga mazungumzo ya Iran na Marekani yaliyolenga kumaliza kabisa uchokozi wa Marekani na Israel dhidi ya Iran.
-
Israel inashikilia waandishihabari 40 wa Kipalestina katika kampeni ya kubana sauti ya haki
Aug 13, 2026 10:29Israel inawashikilia takriban waandishi wa habari 40 wa Kipalestina, wakiwemo wanawake watano, huku ikiongeza kasi ya ukandamizaji mkubwa ili kunyamazisha vyombo vya habari vya Kipalestina na kuzuia kuripotiwa kwa ukiukaji na jinai zake. Hayo ni kwa mujibu wa Jumuiya ya Wafungwa wa Kipalestina (PPS).
-
Kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Ali bin Mussa al Ridha (AS)
Aug 13, 2026 09:20Siku kama ya leo miaka 1244 iliyopita, aliuawa shahidi Imam Ali bin Musa al Ridha AS, mmoja kati ya wajukuu wa Mtume Mtukufu SAW.
-
Rais wa Iran amwambia Waziri Mkuu wa Japan: Iran haijawahi kukiuka sheria za kimataifa
Aug 13, 2026 04:40Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Iran haijawahi kukiuka sheria za kimataifa.
-
Jenerali: Jaribio lolote la uvamizi wa nchi kavu dhidi ya Iran litasambaratishwa
Aug 13, 2026 04:37Naibu wa Mambo ya Kiutendaji katika Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa utayari wa kijeshi na uwezo wa kimkakati wa jeshi hilo vimelazimisha Marekani kurekebisha malengo yake ya kisiasa mara kwa mara, akionya kuwa jaribio lolote la uvamizi wa nchi kavu dhidi ya Iran litasambaratishwa.
-
Indhari ya UN na SADC kuhusu El Niño, Kenya yatangaza maeneo yaliyo katika hatari kubwa
Aug 13, 2026 04:35Uchambuzi mpya wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula Duniani (WFP) unaonyesha kuwa mfumo wa hali ya hewa wa El Niño unaozidi kuimarika kwa kasi unatarajiwa kuzidisha kwa kiasi kikubwa ukosefu wa usalama wa chakula katika baadhi ya nchi zilizo katika hali hatarishi zaidi duniani hadi mwaka 2027.