-
Tume ya Uchaguzi Uganda: Museveni aongoza kwa asilimia 61.7 ya kura
Jan 16, 2026 03:44Matokeo ya awali yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi ya Uganda yanaonyesha kuwa Rais Museveni ameibuka na asilimia 61.7 ya kura halali zilizohesabiwa hadi sasa.
-
Mafuriko yasababisha vifo vya watu 10 Afrika Kusini, na kusababisha kufungwa Hifadhi ya Kruger
Jan 16, 2026 03:44Mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa kaskazini-mashariki mwa Afrika Kusini yamesababisha vifo vya watu 10 kwa usiku mmoja na kupelekea kufungwa kwa Hifadhi ya Taifa ya Kruger.
-
Iran: US, Israel ziliwapa silaha, fedha wafanya ghasia nchini
Jan 15, 2026 23:24Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema Marekani na Israel zilipanga na kufanikisha ghasia zilizoshuhudiwa hapa nchini hivi karibuni, zikielekeza silaha na pesa taslimu kuchochea vurugu na uvunjifu wa utulivu, ikiwa ni sehemu ya mpango mpana wa kuibua mgawanyiko na mifarakano katika taifa hili.
-
WFP: Familia nchini Sudan zinapitia kipindi kigumu kufuatia mizozo ya kikatili, njaa na uhaba wa fedha
Jan 15, 2026 23:23Familia nchini Sudan zinasukumwa ukingoni huku "migogoro ya kikatili" na njaa vikiendelea. Mpango wa Chakula Duniani (WFP) pia umetahadharisha kuwa oparesheni zake za kibinadamu za kunusuru maisha ya wananchi wa Sudan zinasusua kufuatia uhaba mkubwa wa fedha.
-
ANC yaonya kuhusu njama za 'mapinduzi' nchini Iran
Jan 15, 2026 22:43Mkuu wa vuguvugu la Mshikamano wa Kimataifa wa chama tawala cha African National Congress (ANC) katika jimbo la Western Cape nchini Afrika Kusini ameonya kwamba, machafuko ya hivi karibuni nchini Iran yana mkono wa Marekani na washirika wake wa Kizayuni.
-
Magaidi 30 wa al-Shabaab wauawa na vikosi vya Somalia, Uganda na AU
Jan 15, 2026 22:43Vikosi vya Somalia, Uganda na Umoja wa Afrika (AU) jana Alhamisi viliwaangamiza zaidi ya wanamgambo 30 wa al-Shabaab, na kujeruhi wengine kadhaa wakati wa operesheni ya pamoja huko kusini mwa Somalia.
-
Misri: Umoja wa Sudan ni mstari mwekundu kwetu, hatutasita kuchukua kila hatua kuulinda
Jan 15, 2026 22:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri, Badr Abdelatty amesema, nchi yake itachukua hatua zote zinazohitajika ili kuhifadhi umoja wa ardhi ya Sudan, wakati nchi hiyo jirani inakaribia kuingia mwaka wake wa nne wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vinavyohusisha vikosi vya jeshi SAF na vile vya usaidizi wa haraka, RSF.
-
Kwa nini njama zote za Marekani dhidi ya Iran daima zinafeli?
Jan 15, 2026 22:40Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kwamba, watu wa Iran wataendelea kusimama imara kulinda na kutetea nchi yao, akisisitiza kuwa, njama yoyote ya Marekani dhidi ya Iran itashindwa tu kama zilivyoshindwa njama zao zote za huko nyuma.
-
Zoezi la kuhesabu kura nchini Uganda linaendelea
Jan 15, 2026 11:41Shughuli za kuhesabu kura zimeanza katika vituo mbalimbali vya kupigia kura kote Kampala na sehemu zingine za Uganda, baada ya kumalizika kwa zoezi la upigaji kura.
-
Nini lengo la mchezo wa takwimu wa Trump kuhusu waliofariki katika ghasia za Iran?
Jan 15, 2026 07:04Ikiwa ni katika fremu ya uingiliaji wake katika masuala ya ndani ya Iran, Rais Donald Trump wa Marekani amezindua sarakasi mpya ya takwimu kuhusu Iran.