-
Wananchi wa Korea Kusini waandamana kuunga mkono Palestina
Jan 10, 2026 08:40Raia wa Korea Kusini wamefanya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Seoul na kutangaza mshikamano wao na wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Wamorocco wachoma bendera ya Israel, wasisitiza kufutwa uhusiano wa kawaida na Tel Aviv
Jan 10, 2026 08:40Wananchi Morocco wameandamana na kukusanyika mbele ya bunge la nchi yao ambapo sambamba na kuchoma moto bendera ya utawala haramu wa Israel wametoa mwito kwa serikali ya nchi yao kufuta makubaliano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo ghasibu.
-
Umoja wa Mataifa: Watu milioni 30 nchini Sudan wanahitajia msaada wa haraka
Jan 10, 2026 08:39Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, watu milioni 30 nchini Sudan wanahitajia msaada wa haraka wa kibinadamu.
-
Marekani inahusika katika kugeuza maandamano ya amani kuwa machafuko nchini Iran
Jan 10, 2026 05:52Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Bw. Amir-Saeid Iravani katika Umoja wa Mataifa ameliandikia barua Baraza la Usalama la umoja huo akisema Marekani imeyageuza malalamiko na maandamano ya amani ya wananchi wa Iran kuwa ghasia na machafuko.
-
Kumbukumbu Maalumu ya Kuuawa Shahidi Jenerali Haj Qassem Soleimani
Jan 10, 2026 04:03Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuuliwa shahidi Meja Jenerali Qassim Soleimani.
-
Mashambulizi ya Wazayuni dhidi ya Msikiti wa al Aqsa yaliongezeka sana mwaka 2025
Jan 10, 2026 03:12Duru za Palestina zimeripoti kwamba mashambulizi ya walowezi wa Kizayuni dhidi ya Msikiti wa al Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuvunjia heshima eneo hilo takatifu yaliongezeka kwa kiwango kikubwa katika mwaka uliomalizika majuzi wa 2025 na kwamba mashambulizi hayo yaliandamana na ujumbe wa kisiasa na kidini.
-
Gaza: Mtihani kwa Dhamiri ya Ulimwengu katika mwaka 2026
Jan 10, 2026 02:48Makala yetu ya wiki inazungumzia hali ya Ukanda wa Gaza ambapo watu wanataabika kutokana na mafuriko, mvua kubwa, nyumba zilizobomoka, na uhaba mkubwa wa chakula na maji ya kunywa katika majira ya msimu wa baridi kali baada ya miaka mingi ya vita na uharibifu unaofanywa na utawala wa Israel.
-
Trump: Kuna ulazima wa kunyakua Greenland kwa ajili ya usalama wa taifa wa Marekani
Jan 10, 2026 02:29Rais Donald Trump wa Marekani amedai kuwa kulitia mkononi eneo la Greenland ni jambo la dharura kwa ajili ya kulinda usalama wa taifa wa Marekani na kusema: Kunyakua Greenland yumkini kukafanyika kwa njia za amani au kwa kutumia mabavu.
-
Hamas yatahadharisha, Israel itasambaratisha makubaliano ya kusimamisha vita
Jan 10, 2026 02:08Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa taarifa ikizungumzia ukiukaji wa makubaliano ya kusitisha vita Ukanda wa Gaza unaofanywa na utawala wa kizayuni wa Israel na kutahadharisha kuwa makubaliano hayo yako kwenye ukingo wa kusambaratika.
-
Mkuu wa Baraza la Utawala Sudan: RSF itaangamizwa hivi karibuni
Jan 10, 2026 02:07Kiongozi wa Baraza la Utawala wa Mpito nchini Sudan amesema kuwa kundi la wapiganaji la Rapid Support Forces (RSF) litaangamizwa hivi karibuni.