-
Barabara ya Hariri ya Kusini: Iran, Uturuki zarekebisha biashara ya Eurasia
Dec 09, 2025 08:01Mwishoni mwa mwezi uliopita, wakati Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan alipofanya ziara mjini Tehran, Iran na Uturuki zilitangaza makubaliano ya kuanza ujenzi wa njia mpya ya pamoja ya reli kati ya nchi mbili.
-
Kikosi kipya cha polisi wa Kenya chawasili Haiti kukabiliana na magenge ya uhalifu
Dec 09, 2025 07:59Hiki ni kikosi cha tano cha polisi wa Kenya kufika huko Haiti kisiwa kilichokumbwa na ghasia tangu kuanza kuhudumu kwa misheni ya polisi inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa. Kenya ina polisi zaidi ya 700 nchini humo.
-
Nchi za eneo la Sahel zatishia kusimamisha ndege za Nigeria iwapo anga ya nchi hizo itakiukwa
Dec 09, 2025 07:58Shirikisho la Nchi za Sahel barani Afrika linalojumuisha Mali, Niger na Burkina Faso (AES) limetangaza kuwa litazizuia ndege zote zinazokiuka anga yashirikisho hilo kufuatia ripoti za ukiukaji wa sheria uliofanywa na Nigeria.
-
Zelensky alemewa na mashinikizo ya Marekani ili kukubali mpango wa Trump wa kumaliza vita vya Ukraine
Dec 09, 2025 07:58Serikali ya Marekani imezidisha mashinikizo kwa Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ili kukubali kuachia sehemu kubwa ya ardhi ya nchi hiyo na makubaliano mengine yaliyoainishwa katika mpango wa amani wa mwenzake wa Marekani Donald Trump.
-
Israel yalaaniwa vikali kwa kuvamia ofisi za UNRWA Quds Mashariki
Dec 09, 2025 04:03Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia wakimbizi wa Kipalestina, UNRWA, limesema kwamba polisi wa Israel walivamia makao yake makuu katika Quds (Jerusalem) Mashariki mapema Jumatatu, hatua ambayo limeitaja kuwa “changamoto mpya kwa sheria za kimataifa.”
-
Iran yalalamikia FIFA kuhusu nara ya mechi yake na Misri katika Kombe la Dunia
Dec 09, 2025 03:59Shirikisho la Soka la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limewasilisha malalamiko rasmi kwa Shirikisho la Soka Duniani, FIFA, dhidi ya hatua isiyo ya kimichezo ya kamati ya maandalizi ya Kombe la Dunia mjini Seattle, Marekani.
-
Mwanaharakati: Nchi za Afrika ziige mfano wa Kenya wa kuchunguza jinai za jeshi la Uingereza
Dec 09, 2025 03:58Uchunguzi wa bunge la Kenya kuhusu makosa na ukiukaji uliofanywa na Kikosi cha Mafunzo cha Jeshi la Uingereza nchini Kenya (BATUK) umeibua wito wa muda mrefu wa kuhoji mienendo ya majeshi ya kigeni barani Afrika.
-
Rais wa DRC aituhumu Rwanda kwa kukiuka makubaliano ya 'amani' yaliyofikiwa Marekani
Dec 09, 2025 03:56Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Félix Tshisekedi, ameituhumu Rwanda kwa kukiuka makubaliano ya 'amani' yaliyosimamiwa na Marekani na kutiwa saini wiki iliyopita mjini Washington DC.
-
Mlipuko wa kipindupindu DRC umeua watu 1,888, wakiwemo watoto 340
Dec 09, 2025 03:54Mlipuko wa kipindupindu mwaka huu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) umeleta madhara makubwa, ukiwa na jumla ya wagonjwa 64,427 tangu mwanzo wa mwaka huu 2025, na kusababisha vifo 1,888. Watoto waliougua ni 14,818 na waliofariki dunia ni 340, na hivyo kufanya huu kuwa mlipuko mbaya zaidi katika kipindi cha miaka 25 nchini humo. Hayo ni kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF linaeleza.
-
Mwanadiplomasia: Iran iliitia Israel hasara 'kubwa na iliyoenea' wakati wa Vita vya Siku 12
Dec 09, 2025 00:02Mwanadiplomasia mwandamizi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu iliusababishia utawala wa kizayuni wa Israel uharibifu 'mkubwa na ulioenea' wakati wa uvamizi wake uliofanya mwezi Juni dhidi ya Iran kwa uungaji mkono wa Marekani.