-
Idadi ya waliokufa kutokana na hujuma ya RSF Kusini mwa Kordofan, Sudan, yafikia 114
Dec 08, 2025 23:10Mamlaka za Sudan katika jimbo la Kordofan Kusini zimethibitisha maafa makubwa: shambulio la ndege isiyo na rubani la waasi wa RSF lililotokea Alhamisi, Desemba 4, hadi sasa limeua watu 114 na kujeruhi 71. Miongoni mwa waliokufa wamo watoto 63 na idadi hiyo ingali inaongezeka.
-
Ripoti: Wapalestina wasiopungua 110 wamefariki katika magereza ya Israel tangu Ben-Gvir achukue wadhifa
Dec 08, 2025 23:09Ripoti mpya imebainisha kuwa angalau Wapalestina 110 wamepoteza maisha ndani ya magereza ya utawala haramu wa Israel tangu Itamar Ben-Gvir, kinara mwenye misimamo mikali wa chama cha 'Nguvu ya Mayahudi' , ateuliwe kuwa waziri wa 'usalama' mnamo Desemba 2022.
-
Tinubu: Jeshi la Nigeria ‘lililinda’ Benin kufuatia jaribio la mapinduzi
Dec 08, 2025 23:09Rais wa Nigeria, Bola Tinubu, amesema vikosi vya ulinzi vya nchi yake vilisaidia kulinda taifa jirani la Benin baada ya jaribio la mapinduzi ya kijeshi Jumapili.
-
Ukosefu mkubwa maji unazidi kusambaa kusini mwa Somalia
Dec 08, 2025 23:08Vyanzo muhimu vya maji kusini mwa Somalia vinakauka kwa kasi huku ukame ukiongezeka, na kusababisha uhaba mkubwa kwa mamia ya maelfu ya watu.
-
Ni kwa kiwango gani hatua ya Israel ya kutumia watu wenye ushawishi inaweza kubadilisha simulizi ya kimataifa?
Dec 08, 2025 23:06Kufuatia kuchukizwa sana kwa walimwengu na utawala wa Kizayuni, hasa baada ya mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo huko Palestina, baraza la mawaziri la utawala huo limetenga bajeti ya takriban dola milioni 750 ili kuboresha taswira yake duniani.
-
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Azerbaijan zaazimia kuimarisha zaidi ushirikiano
Dec 08, 2025 07:48Seyyed Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye alielekea Baku kushauriana na maafisa wakuu wa Jamhuri ya Azerbaijan leo asubuhi amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo Ilham Aliyev.
-
Mapigano yaendelea: Makubaliano ya amani ya DRC na Rwanda yabakia kuwa ndoto
Dec 08, 2025 07:35Mapigano makali yameendelea kujiri Uvira mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambapo waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wakikabiliana na jeshi la Kongo linaloungwa mkono na wanajeshi wa Burundi.
-
Tarehe 16 Azar; Nembo ya utamaduni wa muqawama na harakati ya uhuru
Dec 08, 2025 07:31Tarehe 16 mwezi Azar inayosadifiana na Disemba 7 imesajiliwa katika kalenda rasmi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni "Siku ya Mwanachuo", siku ambayo ni nembo ya mapambano, kupigania haki na kusimama kidete tabaka la wasomi dhidi ya dhulma na ubeberu wa madola ya kigeni.
-
Serikali ya Tanzania yawataka wananchi wasiokuwa na dharura kubaki nyumbani Disemba 9
Dec 08, 2025 07:13Serikali ya Tanzania imewataka wananchi kusalia majumbani kesho Desemba 9, siku ambayo huadhimishwa kila mwaka kama Siku ya Uhuru wa Tanganyika.
-
Wizara ya Afya ya Gaza: Kina cha maafa ya kibinadamu ya Gaza kinachochewa na uhaba wa dawa
Dec 08, 2025 07:00Wizara ya Afya ya Gaza imetangaza kuwa, ukosefu wa dawa na vifaa vya matibabu huko Gaza unaongeza zaidi maafa ya kibinadamu katika eneo hilo.