-
Utafiti: Zaidi ya watoto milioni 12 kufariki dunia ifikapo 2045
Dec 08, 2025 06:53Utafiti mpya uliotolewa na Taasisi ya Gates Foundation unaonyesha kuwa, kwa mara ya kwanza katika karne hii, idadi ya watoto duniani wanaofariki kabla ya kufikisha umri wa miaka mitano baada ya kuzaliwa inatarajiwa kuongezeka.
-
Araghchi: Marekani haiko tayari kwa mazungumzo ya manufaa kwa pande mbili, ya usawa na ya kuheshimiana
Dec 08, 2025 03:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesema, Tehran imefikia hitimisho kwamba Marekani haiko tayari kwa mazungumzo ya manufaa kwa pande mbili, ya usawa na yanayofanyika kwa msingi wa kuheshimiana.
-
DRC: M23 ikisaidiwa na jeshi la Rwanda inasonga mbele kuelekea Kivu, imeteka mji wa kimkakati
Dec 08, 2025 03:01Duru za serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimetangaza kuwa, waasi wa M23, wakisaidiwa na jeshi la Rwanda wanaendelea kusonga mbele kuelekea eneo la Kivu Kusini.
-
Netanyahu: Israel haitaondoka katika maeneo ya kusini ya Syria iliyoyavamia
Dec 08, 2025 03:00Waziri Mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu amesema, jeshi la utawala huo halitaondoka katika maeneo liliyoyavamia na kuyakalia kwa mabavu ya kusini mwa Syria.
-
UN yazindua ombi la dola bilioni 33 kwa ajili ya kuokoa maisha ya watu milioni 87
Dec 08, 2025 03:00Umoja wa Mataifa leo umezindua ombi la misaada ya kibinadamu duniani la dola bilioni 33, ukiomba nchi na wadau kote ulimwenguni kuongeza msaada kwa mamilioni ya watu wanaokabiliwa na migogoro kutokana na vita, majanga ya tabia nchi, miripuko ya maradhi, na njaa.
-
Serikali ya Nigeria yafanikisha kuachiwa huru watoto 100 waliotekwa nyara katika jimbo la Niger
Dec 08, 2025 02:56Serikali ya Nigeria imefanikisha kuachiliwa huru watoto 100 wa skuli waliotekwa nyara mwezi uliopita katika Jimbo la Niger. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na televisheni ya Channels Television jana Jumapili.
-
Iran: Mkakati mpya wa Usalama wa Taifa wa Marekani unaandikwa hasa kwa ajili ya Israel
Dec 07, 2025 23:37Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Mkakati mpya wa Usalama wa Taifa wa Marekani (NSS) unaobainisha misingi na vipaumbele vya Washington katika sera za nje kimsingi ni hati ya usalama kwa ajili ya utawala wa kizayuni wa Israel.
-
AU, ECOWAS zalaani jaribio la mapinduzi Benin; zasema zinaiunga mkono serikali
Dec 07, 2025 23:37Umoja wa Afrika (AU) na Jumuiya ya Uchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) zimelaani jaribio la mapinduzi nchini Benin siku ya Jumapili, na kueleza kuwa zinaiunga mkono serikali katika kudumisha utaratibu wa kikatiba.
-
AU yalaani shambulio la RSF lililoua zaidi ya raia 100 katika mji wa Kalogi, kusini mwa Sudan
Dec 07, 2025 23:05Umoja wa Afrika, AU umelaani vikali mashambulizi ya ndege zisizo na rubani yaliyofanywa na Vikosi vya Usaidizi wa Haraka, RSF yaliyoua makumi ya watu wakiwemo watoto katika mji wa Kalogi kusini mwa Sudan.
-
HAMAS: Tuko tayari kukabidhi silaha kwa utawala wa Wapalestina ikiwa Israel itaondoka kikamilifu Ghaza
Dec 07, 2025 23:04Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema, iko tayari kukabidhi silaha zake katika Ukanda wa Ghaza kwa mamlaka ya utawala ya Wapalestina itakayosimamia uendeshaji wa eneo hilo, kwa sharti kwamba uvamizi na ukaliaji ardhi kwa mabavu wa jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel ukomeshwe kikamilifu.