-
Qatar yakanusha kuisaidia kifedha HAMAS, yasema mawasiliano yao yalianza miaka 13 nyuma
Dec 07, 2025 23:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema mawasiliano baina ya Doha na harakati ya Hamas yalianza miaka 10 hadi 13 iliyopita kwa lengo la kurahisisha juhudi za kusitisha mapigano na kupeleka misaada ya kibinadamu Ghaza.
-
Kwa nini Wamarekani wengi wanapinga hatua ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Iran?
Dec 07, 2025 23:01Takwimu za hivi karibuni zinaonyesha kuwa idadi kubwa ya raia wa Marekani wanapinga mashambulizi ya kijeshi yaliyofanywa na serikali ya Rais Donald Trump dhidi ya Iran.
-
Mgombea urais Uganda: Nilipigwa na askari usalama
Dec 07, 2025 08:49Bob Wine au Robert Kyagulanya mgombea kiti cha urais nchini Uganda kwa tiketi ya chama cha upinzani cha NUP amesema kuwa askari usalama wa nchi hiyo wampiga yeye na wafuasi wake wakati walipokuwa katika kampeni za uchaguzi kaskazini mwa nchi hiyo katika kile kinachotajwa kuwa muendelezo wa ghasia na utumiaji mabavu unaoshuhudiwa Uganda kabla ya uchaguzi wa Rais Januari 15 mwakani.
-
Vikosi vya serikali ya Benin vyazima jaribio la mapinduzi, waziri asema hali 'imedhibitiwa'
Dec 07, 2025 08:16Vikosi vya usalama vya Benin vimezima jaribio la mapinduzi, huku hali ya mambo ikidhibitiwa. Haya yamebainishwa na Waziri wa Fedha Romuald Wadagni alipohojiwa na jarida la Jeune Afrique hii leo.
-
Kuvunjwa kwa Baraza la NATO–Russia: Je, kutashuhudiwa vita kati ya Russia na nchi za Magharibi?
Dec 07, 2025 08:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Poland ametangaza kuwa Baraza la NATO na Russia limevunjwa rasmi huku kukiwa na wasiwasi wa kuibuka mivutano ya kijeshi kati ya pande hizo mbili.
-
Madaktari wa Sudan: Tumesajili kubakwa wanawake 19 na RSF huko El Fasher
Dec 07, 2025 07:51Mtandao wa Madaktari wa Sudan umetangaza kuwa timu zake katika kambi ya Al-Afad, mashariki mwa mji wa Al-Dabba kaskazini mwa Sudan, zimesajili visa 19 vya ubakaji wa wanawake waliofurushwa kutoka El-Fashir hadi katika mji wa Al-Dabba na wanachama wa kundi la waasi wa RSF.
-
Qalibaf azionya nchi jirani kutoijaribu Iran kuhusu visiwa vitatu vya Ghuba ya Uajemi
Dec 07, 2025 07:39Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge la Iran) Mohammad Baqer Qalibaf amepuuzilia mbali madai ya kukaririwa kuhusu visiwa vitatu vya Iran katika taarifa ya mwisho ya Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (GCC), akiyaonya mataifa jirani kutoijaribu azma ya Jamhuri ya Kiislamu ya kulinda mamlaka yake ya kujitawala na umoja wa ardhi nzima ya nchi hii.
-
Mjumbe wa Marekani akiri: Washington ilijaribu na kushindwa mara mbili kuipindua serikali ya Iran
Dec 07, 2025 07:30Tom Barrack Mjumbe Maalumu wa Marekani nchini Syria amesema kuwa Washington ilijaribu mara mbili kupindua serikali ya Iran lakini iliambulia patupu.
-
Spika Qalibaf: Marekani ina chuki ya kihistoria na mwanachuo wa Kiirani
Dec 07, 2025 03:22Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa: Mfumo wa kibeberu kinara wake akiwa Marekani una chuki na uadui wa kihistoria dhidi ya mwanachuo wa Kiirani.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Hivi sasa mpira uko upande wa Marekani
Dec 07, 2025 03:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Ira amesema iwapo Marekani itabadili mkondo wake, Iran nayo itakuwa tayari kupata matokeo ya haki na usawa.