-
Utafiti: Vita vya Gaza sababu kuu ya kusilimu Waingereza
Dec 07, 2025 03:20Utafiti mpya nchini Uingereza unaonyesha kuwa, vita na migogoro ya kimataifa hususan vita vya hivi karibuni vya Gaza vimekuwa na mchango mkubwa katika kuongeza mwelekeo wa raia wa Uingereza kusilimu na kuikumbatia dini ya Kiislamu.
-
Uhispania: Ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni ni kinyume na sheria za kimataifa
Dec 07, 2025 03:20Serikali ya Uhispania imetangaza kuwa, ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni unaofanywa na utawala wa Israel katika maeneo ya Wapalestina ni kinyume na sheria za kimataifa.
-
Amnesty International yaonya kuhusiana na hali ya Gaza
Dec 07, 2025 03:19Katibu Mkuu wa Amnesty International sambamba na kueleza wasi wasi wake mkubwa kuhusu hali ya Gaza amesisitiza kuwa: Jamii ya kimataifa imejitenga kuiwajibisha Israel na haiangazii na kuzingatia tena hali ya Gaza.
-
Iran, Misri zaafiki kuendeleza mazungumzo ya kupanua uhusiano
Dec 07, 2025 00:11Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Misri wameafiki juu ya kuweko mazungumzo ya kupanua uhusiano wa mataifa yao.
-
Kamari kubwa ya Israel Ghaza yashindwa vibaya kwa kuangamizwa Abu Shabab
Dec 06, 2025 22:55Kuangamizwa kiongozi wa genge la kigaidi na mamluki wa Israel katika Ukanda wa Ghaza, ni kufeli njama za kijasusi za utawala huo huko Ghaza na ni uthibitisho kwamba njama za kutafuta kundi la kuchukua nafasi ya Hamas ni kamari isiyo na mwisho.
-
Je, ziara ya Putin nchini India inamaanisha kwamba New Delhi imepuuza vitisho vya Trump?
Dec 06, 2025 22:54Rais Vladimir Putin wa Russia amefanya ziara nchini India kwa lengo la kuimarisha uhusiano kati ya nchi mbili.
-
Imarati yawalipa magaidi mamilioni ya dola kumuokoa mwanamfalme
Dec 06, 2025 22:53Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati) imewalipa magaidi wa al-Qaeda zaidi ya dola milioni 23 kama kikomboleo cha mwanamfalme aliyekuwa ametekwa nyara na magaidi hao huko Mali, magharibi mwa Afrika.
-
Mamia waandamana Mogadishu kumlaani Trump kwa kuwatukana Wasomali
Dec 06, 2025 22:53Mamia ya watu wamemiminika mitaani huko Mogadishu mji mkuu wa Somalia kuonesha hasira zao dhidi ya rais wa Marekani Donald Trump aliyewatukana Wasomali na kuwaita "takataka."
-
Mamluki wa Saudia na Imarati watwangana Hadhramaut Yemen
Dec 06, 2025 22:52Muungano wa Kikabila wa Hadramaut wa vibaraka wa Saudi Arabia umeanzisha mashambulio makali dhidi ya vibaraka wa Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati) ukitangaza kwamba kundi la Imarati limekanyaga makubaliano ya kusitisha vita baina yao na linahusika na mauaji yanayoendelea hivi sasa katika jimbo hilo.
-
Mwendesha Mashtaka wa ICC aikosoa Marekani kwa kuwafananisha majaji wa mahakama hiyo na magaidi, walanguzi wa dawa za kulevya
Dec 06, 2025 10:27Naibu mwendesha mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ameikosoa vikali serikali ya Marekani kwa kuwawekea vikwazo majaji wa mahakama hiyo ya kimataifa, hatua ambayo amesema inaakisi jinsi Washington inavyowalenga magaidi na wafanyabiashara wa dawa za kulevya.