-
Jumuiya ya Wafungwa wa Palestina: Israel ina mpango wa kumuua Marwan Barghouthi
Dec 06, 2025 10:12Kundi la kutetea wafungwa wa Kipalestina, The Palestinian Prisoners’ Society (PPS), limeonya juu ya njama hatari ndani ya magareza ya Israel ya kumuua kiongozi mtajika wa Palestina, Marwan Barghouthi, aliyetekwa nyara huku kukiwa na ripoti za ukandamizaji na kudhalilishwa pakubwa kiongozi huyo wa Palestina.
-
Sudan yawatuhumu wanamgambo wa RSF kwa kuuwa raia 79 huko Kordofan Kusini
Dec 06, 2025 10:02Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan imewatuhumu wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) kuwa wameua raia 79 wakiwemo watoto 43 katika mauaji ya halaiki kwenye mji wa Kalogi katika jimbo la Kordofan Kusini.
-
Katibu Mkuu wa Hizbullah: Lebanon inakabiliwa na uchokozi hatari wa Israel
Dec 06, 2025 09:42Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sheikh Naim Qassem amesema kuwa Lebanon inakabiliwa na uchokozi hatari na wa kujitanua wa Israel ambao unapasa kukabiliwa kwa njia zote.
-
Tuzo ya Amani ya FIFA kwa Trump yaitwa 'Joki ya Karne'
Dec 06, 2025 09:36Watumiaji wa mitandao ya kijamii wanasema kwamba hatua ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) ya kumpa Tuzo ya Amani Rais Donald Trump wa Marekani ndio habari ya kipuuzi zaidi ambayo wamewahi kusikia maishani mwao.
-
Idadi ya wahanga wa mashambulizi ya Pakistan nchini Afghanistan yaongezeka
Dec 06, 2025 08:55Idadi ya watu waliouawa na kujeruhiwa katika mashambulio ya Pakistan kwenye mkoa wa Kandahar nchini Afghanistan imeongezeka na kufikia watu 10.
-
Kumpa Trump Tuzo ya Amani ya FIFA: Ni Ubunifu au Mchezo wa Siasa?
Dec 06, 2025 07:26Jana Desemba 5, 2025, Kituo cha Sanaa za Maonyesho cha John F. Kennedy kilikuwa jukwaa la maonyesho ya kisiasa na michezo.
-
India, Russia zasisitiza utatuzi wa mpango wa nyuklia wa Iran kupitia mazungumzo
Dec 06, 2025 04:24Baada ya Rais wa Russia Vladimir Putin na Waziri Mkuu wa India Narendra Modi kukutana mjini New Delhi, nchi hizo mbili zimesisitiza umuhimu wa kutatua masuala yanayohusiana na mpango wa nyuklia wa Iran kwa njia ya mazungumzo.
-
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lapasisha maazimio 5 ya kuunga mkono Palestina
Dec 06, 2025 04:24Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha kwa wingi maazimio matano kwa ajili ya Palestina, ikiwa ni pamoja na kuongeza muda wa shirika la UNRWA, kulaani vitongoji vya walowezi wa Kizayuni na kuunga mkono haki za wakimbizi wa Kipalestina.
-
Wakimbizi wa Burundi watakiwa kuondoka Tanzania
Dec 06, 2025 04:20Serikali ya Tanzania imetangaza rasmi kufuta hadhi ya ukimbizi na kuzifunga kambi za wakimbizi wa Burundi waishio mkoani kigoma kabla ya mwezi Juni mwaka ujao wa 2026.
-
Nchi za Kiislamu zaonya kuhusu mpango wa Israel wa kuwahamisha kwa nguvu raia wa Gaza
Dec 06, 2025 04:20Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi nane za Kiislamu wameeleza wasi wasi wao mkubwa kutokana na matamshi ya hivi karibuni ya maafisa wa Israel kuhusiana na kufunguliwa kwa upande mmoja kivuko cha Rafah na kuwahamishia wakaazi wa Gaza nchini Misri.