-
Karibu 50% ya raia wa nchi wananchama wa EU wanamuona Trump "adui wa Ulaya"
Dec 05, 2025 03:03Uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni umebaini kuwa, karibu nusu ya raia wa nchi wananchama wa Umoja wa Ulaya, EU wanamwona Rais wa Marekani Donald Trump kama "adui wa Ulaya," huku wengi miongoni mwao wakihisi hatari ya kuzuka vita vya wazi baina ya nchi zao na Russia katika miaka ijayo kuwa ni ya "juu".
-
Spika wa Bunge: Iran iko wazi kwa diplomasia lakini usalama wa taifa na nguvu ya ulinzi haviwezi kujadiliwa
Dec 04, 2025 23:28Spika wa Bunge la Iran, Mohammad-Baqer Qalibaf amesema ingawa Iran iko wazi kwa diplomasia, lakini haitalegeza kamba katika suala la usalama wa taifa na nguvu zake za ulinzi.
-
Hamas: Israel iwajibishwe kwa kuzika mamia ya miili ya Wapalestina kwenye makaburi ya umati
Dec 04, 2025 23:27Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imezitaka mahakama za kimataifa na vyombo husika kuwafungulia mashtaka wale waliohusika wa uhalifu wa kivita baada ya uchunguzi kufichua kwamba wanajeshi wa Israel waliteketeza miili ya Wapalestina waliokuwa katika safu za kupokea misaada na kuizika katika makaburi yasiyo na kina huko Gaza.
-
UN: Kuna hatari ya kuzuka wimbi jipya la mashambulizi na janga la kibinadamu Kordofan, Sudan
Dec 04, 2025 23:27Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, ametoa indhari kuhusu hatari ya kuzuka wimbi jipya la ukatili katika eneo la Kordofan, Sudan, baada ya kushadidi mapigano kati ya Jeshi la Sudan (SAF), Vikosi vya Usaidizi wa Haraka (RSF) na Kundi la Harakati ya Kaskazini ya Ukombozi wa Wananchi wa Sudan, (SPLM-N).
-
Wasomali wamjia juu Trump baada ya kuwaita "takataka", na kwamba nchi yao "inanuka"
Dec 04, 2025 23:06Matamshi ya dharau yaliyotolewa na Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu watu na nchi ya Somalia yamesababisha wimbi la hasira na majibu makali.
-
Wakili Mskochi: Wawindaji wa wanawake wanatembea kwa uhuru nchini Uingereza
Dec 04, 2025 23:05Utafiti mpya unaonyesha kwamba wasichana na wanawake nchini Uingereza bado wanahisi hawako salama katika maeneo ya umma.
-
Trump na mkakati wa kuchochea ubaguzi wa rangi
Dec 04, 2025 23:04Donald Trump, Rais wa Marekani, ameendeleza mashambulizi makali dhidi ya wahamiaji wa Kisomali akisema: “Somalia inanuka.” Aidha, alimueleza Ilhan Omar, mbunge wa Kidemokrasia na Mwislamu, kuwa ni “takataka.”
-
Shamkhani azionya nchi za Ghuba ya Uajemi kutocheza na “mistari myekundu” ya Iran
Dec 04, 2025 08:51Mwakilishi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei katika Baraza la Ulinzi la Iran amelionya Baraza la Ushirikiano la Nchi za Ghuba ya Uajemi dhidi ya madai “yasiyo ya kujenga” kuhusu visiwa vitatu vya Iran na visima vya gesi vya Arash.
-
Amnesty yataka uchunguzi wa uhalifu wa kivita wa RSF nchini Sudan.
Dec 04, 2025 08:44Shirika la kutetea haki za binadamu Amnesty International limetaka kufanyike uchunguzi wa uhalifu wa kivita kuhusu shambulio lililofanywa na kundi la waasi la Rapid Support Forces (RSF) nchini Sudan katika kambi ya wakimbizi wa ndani ya Zamzam, jimbo la Darfur Kaskazini, mapema mwaka huu.
-
Vita vya Kijasusi; Kadi ya Ushindi ya Iran dhidi ya Utawala wa Kizayuni
Dec 04, 2025 08:41Meya wa Bat Yam katikati ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, zilizopachikwa jina bandia la Israel, amekiri kuongezeka kwa ushawishi wa kijasusi wa Iran.