-
Utafiti: Vita vya Gaza vinawasukuma Waingereza kwenye dini ya Uislamu
Dec 05, 2025 07:22Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Uingereza ya Athari ya Imani katika Maisha (IIFL) umeonyesha kuwa migogoro ya kimataifa ni sababu kuu kwa Waingereza kukubali dini ya Uislamu.
-
IRGC yaanza maneva makubwa la kijeshi Ghuba ya Uajemi kwa kutoa onyo kwa meli za Marekani
Dec 05, 2025 07:21Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kimeanza mazoezi makubwa katika Ghuba ya Uajemi, kikionyesha uwezo wa hali ya juu wa kujilinda na kushambulia ulioimarishwa kwa akili mnemba.
-
Hamas: Mwisho wa Abu Shabab ndio hatima isiyoepukika ya kila msaliti
Dec 05, 2025 07:20Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeonya kwamba mauaji ya mshirika wa Israel na kiongozi wa genge lenye uhusiano na Daesh, Yasser Abu Shabab, ni hatima isiyoepukika ya kila mtu anayechagua kulisaliti taifa na nchi yake na kushirikiana na utawala ghasibu wa Israel.
-
UN yatahadharisha kuhusu vifo vinavyosababishwa na mabomu ya kutegwa ardhini
Dec 05, 2025 07:19Umoja wa Mataifa umetoa tahadhari kuhusu ongezeko la vifo vinavyosababishwa na mabomu ya kutegwa ardhini huku kukiwa na upungufu wa ufadhili wa programu za kutegua mabomu hayo.
-
Kamanda: Mazoezi ya kijeshi ya Sahand 2025 yamemalizika kwa mafanikio katika sinario zote
Dec 05, 2025 04:22Kamanda wa manuva ya kupambana na ugaidi ya "Sahand 2025" ameuelezea ujumbe wa mazoezi hayo ya kijeshi kuwa ni juhudi za pande zote za kupambana na ugaidi, akisema: "Vikosi vya Nchi Kavu vya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu na vya nchi zilizoshiriki vimefanikiwa kutekeleza sinario zote za manuva hayo".
-
Wairaqi waunga mkono Hizbullah na Ansarullah baada ya tangazo la kuzuiliwa mali zao kimakosa
Dec 05, 2025 04:21Mitaa ya mji mkuu wa Iraq, Baghdad usiku wa kuamkia leo ilishuhudia misafara mirefu ya magari, yaliyokuwa yakipeperusha bendera za harakati za Muqawama wa Kiislamu za Hizbullah ya Lebanon na Ansarullah ya Yemen, na kutangaza mshikamano wa umma na harakati hizo za Muqawama dhidi ya vitisho vya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Marais wa DRC na Rwanda wasaini makubaliano chini ya upatanishi wa US huku mapigano yakiendelea
Dec 05, 2025 03:40Rais wa Marekani Donald Trump amewasifu marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda kwa kile alichokiita "ujasiri" wao wa kusaini makubaliano mapya yanayolenga kukomesha mzozo wa muda mrefu mashariki mwa Kongo DR na kufungua njia ya kuchotwa rasilimali muhimu za madini katika eneo hilo na Marekani na makampuni ya Kimarekani.
-
Yasser Abu Shabab, mshirika wa Israel na msaliti wa Wapalestina wa Ghaza aripotiwa kuuawa
Dec 05, 2025 03:25Yasser Abu Shabab, mshirika wa kijeshi wa utawala wa kizayuni wa Israel mwenye uhusiano pia na kundi la kigaidi la DAESH (ISIS), maarufu kwa kuongoza uporaji wa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Ghaza na kwa kuwalenga kwa kuwaua raia wa Palestina, ameripotiwa kuuawa katika eneo hilo.
-
Karibu 50% ya raia wa nchi wananchama wa EU wanamuona Trump "adui wa Ulaya"
Dec 05, 2025 03:03Uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni umebaini kuwa, karibu nusu ya raia wa nchi wananchama wa Umoja wa Ulaya, EU wanamwona Rais wa Marekani Donald Trump kama "adui wa Ulaya," huku wengi miongoni mwao wakihisi hatari ya kuzuka vita vya wazi baina ya nchi zao na Russia katika miaka ijayo kuwa ni ya "juu".
-
Spika wa Bunge: Iran iko wazi kwa diplomasia lakini usalama wa taifa na nguvu ya ulinzi haviwezi kujadiliwa
Dec 04, 2025 23:28Spika wa Bunge la Iran, Mohammad-Baqer Qalibaf amesema ingawa Iran iko wazi kwa diplomasia, lakini haitalegeza kamba katika suala la usalama wa taifa na nguvu zake za ulinzi.